kizomanizo
Member
- Jan 26, 2010
- 71
- 21
yani imefika sita unusu naona msg eti kifurushi kwishney. daah ndoa na voda inayumba
Mimi kitambo nipo airtel na kuanzia saa sita usiku internet ni free
Mi ndoa na voda tushapeana taraka kitambo kitambo, wanakera sana hawa watu!