Vodacom tz mastercad

Vodacom tz mastercad

ahsante voda na bank ya bancbc kwa kutufanya watanzania kuweza kufanya vitu ambavyo wengi hatukuwa na uwezo wa kuvifanya kwasababu ya kutokuwa na debt cards
 
Wakuu cardname unaingiza jina lipi??msaada kwa yeyote ambae amewahi kutumia. Nimejaribu kuingiza jina lililosajiliwa kwenye line lakini sijafanikiwa
 
wakuu mm shida yangu nimeshindwa kujisajili nayo paypal msaada wenu Tafadhali
Nadhani kuna kuna issue kwenye hizi card,Nimejaribu kuwasiliana na wafanyakazi wa vodacom but it seems hata wao hawana knowledge ya kutosha kwenye product zao,kwa kifupi wameshindwa kutatua tatizo langu,hivyo nimeamua kuendelea kutumia prepaid card yangu kufanya miamala.
 
Kama watakuwa wamefanya hivi basi watu wa mikoani watakuwa wametusaidia mana kutumia card ya crdb ni stress tu
 
Nili -link Mastercard yangu ya Vodacom Mpesa na Paypal kwa malengo ya kupokea pesa kutoka nje, kupitia mtandao wa Popads lakini sikufanikiwa.
Nikawasiliana na Vodacom huduma kwa wateja wakasema hivi
View attachment 1302753
Wakiwa na maana Hakuna huduma ya kupokea pesa kupitia Vodacom kutoka Paypal.

Lakini ile website ya Popads hapo awali walipojaribu kunitumia pesa ilishindikana. Tazama picha

View attachment 1302758

Huo ni ushahidi tosha kuwa hakuna uwezo wa kupokea fedha kutoka nje kwa njia ya Vodacom Mpesa ila utaweza kufanya manunuzi.
Njia ninayoitumia sasa kupokea fedha ni kupitia line ya Safaricom, wao wana Safaricom Mpesa ambayo inakubali kupokea na kutuma fedha.
Kingine usichokijua ni kua hakuna raia hata 1 wa Tanzania anayetumia Bank ya tz au line ya tz kupokelea pesa aliyewahi kulipwakutia paypal. BOT hawajaruhusu wabongo tulipwe kwa paypal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom