Tumia akili.....rudi shule jifunze IT na utaweza piga simu mitandao yote bila kulipa.....kama voda wanaiba basi na wewe waibie
Basi ni kuachana nao kama ni hivyo.But mkuu Katavi mbona mitandao mingine haina haya mambo ya ukiweka salio kama data iko on salio linatumika..Airtel bundles zao zikiisha hawachukui hata sent'tano ya mteja.ukitaka kuamini alichokisema mdau hapo juu,weka line yako kwenye Nokia torch then kaa dk10 angalia salio kama hukuweka mikono kichwani,voda ni wezi line yao wananikamatia m-pesa salio langu hawatokaa walione me yangu Airtel tu.
Katika hali ya masikitiko nilikuwa nasikia tu kutoka kwa watumiaji wenzangu kwamba mtandao wa voda umekuwa mtandao usiojali wateja wake na unaendelea kuwanyonya kwa kuwaibia japo vivocha vidogo ambavyo wateja wao wanaviweka.
Binafsi nimekumbana na hilo pale nilipokuwa na shilingi elfu moja na kuingiza kwenye simu yangu ila ghafla nimeshangaa kutazama salio nimejikuta na sh 750/= nikafikiria kwa kina kutokana na sote tunatambua maisha ya kitanzania nimagumu nikaona bora niwapigie Voda huduma kwa wateja angalau waweze kunirudishia kile kidogo walichokichukua bila idhini yangu ila hali ilikuwa tofauti pale mhudumu huyo kunieleza jambo kama hilo haliwezekani, Nilisikitika sana na sasa nataka kuitupa laini yangu niliyokuwa naipenda ya vodacom.
But mkuu Katavi mbona mitandao mingine haina haya mambo ya ukiweka salio kama data iko on salio linatumika..Airtel bundles zao zikiisha hawachukui hata sent'tano ya mteja.ukitaka kuamini alichokisema mdau hapo juu,weka line yako kwenye Nokia torch then kaa dk10 angalia salio kama hukuweka mikono kichwani,voda ni wezi line yao wananikamatia m-pesa salio langu hawatokaa walione me yangu Airtel tu.
Tigo nao ukiacha Salio hilo unakua umechangia wahisani. wote ni walewale ndugu. Sijui watu wa Airtel na Zantel Na Smile TTCL wanasemaje kuhusu hili?kesho naenda kununua line ya TIGO Na AIRTEL, vODA baibai :rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon:
They only reason hio hela imepungua ni kwamba, pindi unaweka hio vocha hukuzima data. Hivyo pindi vocha imeingia ikaanza kuliwa kwa vile apps kama watts app, insta zinakuwa zinafanya kazi on background. Inabidi pindi ukiweka vocha zima data.
Vodacoma mnazingua kw kweli....nimeweka kifurushi cha wiki GB1 kwa 4200 after one day kimeisha....yaani gb 1 inaweza kuwa mb 500 maana nkitumia mtandao wa tigo kwa matumizi yale yale inakaa wiki nzima
acha uongo hata airtel wanakata