slimhamimu
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 325
- 111
Kutuibia wanatuibia bado ukiwapigia watu wa huduma kwa wateja lazima kwanza ujiandae kwa lugha ya kejeri na dhalau voda nahisi wametuchoka.
Halaf 200MB za voda siku hizi zinaisha haraka.
Wamezidi ujambazi.
hamia Airtel shs 500 unapata dk 15 mitandao yote, sms 150 na MB 125
Achana hao ni wezi, mimi nilipoteza lainni taratibu za mara Unaambiwa utaje majina unaowasiliana Ukifanikiw Unaambiwa kitambulisho ikifofautiana kidogo utajuta kwa nini umepoteza muda mimi, mara kaape kwa hakimu, vikwazo chungu nzima!!!! Njooo zantel Unapat Dk 20 4 all
Tena Voda wanatabia ya kukata pesa sana bila taarifa Mathalani una bundle labda ya cheka alafu una salio lingine kwenye simu bundle ikiisha wala hawakupi taarifa wanakatata na pesa yako ikiiasha ndio wanakwambia umemaliza salio.
Kutuibia wanatuibia bado ukiwapigia watu wa huduma kwa wateja lazima kwanza ujiandae kwa lugha ya kejeri na dhalau voda nahisi wametuchoka.
Kama unatumia smart phones zima data then ingiza vocha utalaumu bure mitandao ya cm
Hicho kifurushi unajiungaje mkuu? Nataka nijiunge.
They only reason hio hela imepungua ni kwamba, pindi unaweka hio vocha hukuzima data. Hivyo pindi vocha imeingia ikaanza kuliwa kwa vile apps kama watts app, insta zinakuwa zinafanya kazi on background. Inabidi pindi ukiweka vocha zima data.
Aah! Voda nyoko!!.... Yaan niliweka 7000 ili nipate kifurushi cha 1 week net, ile naanza kufata procedure za kujiunga naambiwa huna salio la kutosha! Nikaweka tena the same amount wakapiga tena...sifanyii kazi voda so nimewahama friday last week. Airtel safi!!!!¨
Kabla hajaweka salio kwa ajili ya kununua kifurushi, hakikisha umezima data.
Hiyo ni kweli fedha ziliwa hata data ikiwa off au hata km una simu isiyo na data.
Mimi simu yangu ni smartphone laini 2 dual lakini data ipo upande wa Airtel.
Jana nimeweka buku kw voda ili ninunue bundle ya 1000, lkn inaniambia salio halitoshi.
Kungalia imebaki km TSh 700.
Baada ya muda nikataka kununua ya 500, kuangalia 0.00.
Ni wezi hawa jamaa