Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
But mkuu Katavi mbona mitandao mingine haina haya mambo ya ukiweka salio kama data iko on salio linatumika..Airtel bundles zao zikiisha hawachukui hata sent'tano ya mteja.ukitaka kuamini alichokisema mdau hapo juu,weka line yako kwenye Nokia torch then kaa dk10 angalia salio kama hukuweka mikono kichwani,voda ni wezi line yao wananikamatia m-pesa salio langu hawatokaa walione me yangu Airtel tu.
Mtandao wowote ule wenye huduma ya data hapa Bongo, ukiweka salio (labda uwe umejiunga na kifurushi na bado hakijaisha) kama data iko on katika smartphone yako lazima salio likatwe, kwasababu unatumia data.....watakua ni wapuuzi mno kama itakuwa hawakati ilhali data iko on.
Nimetumia airtel hata tigo, Kifurushi kikiisha kama data iko on salio la kawaida linaESCROWlika kama kawa.