innocent mabiki
Member
- Apr 12, 2015
- 11
- 0
Mimi natumia zantel
Mimi natumia zantel
Naomba unipe mchanganuo wa vifurushi vya zantel nataka nihamie huko aisee!
zantel nimeshaachana nayo huku shamba nilipo inasumbua hivyo natumia airtel..kwa zantel hata sikumbuki tena vifurushi vyao
kweli voda ni janga kwa makato yasiyoeleweka, wakiendelea hivi watapoteza idadi kubwa ya wateja:car:kaka unajikuta haujajiunga na chochote lakin unavyokatwa kunasiku nilikuwa kwenye gari nusu ya abiria wanalalamikia voda
Jana mchana nimeweka voda ya jero nikajiunga na cheka leo hasubui nataka nimalizie dakika zangu zilizobaki naambiwa sina kifurushi wakati masaa 24 bado hayajafika