Makampuni ya mawasiliano yalalamikiwa kwa kuwaibia wateja pesa za vifurushi kwenye simu. Vodacom yatajwa Bungeni

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,515
9,313
3451eefcc9cbc71b5afab6937fac0b5c

Mbunge wa Mwanga (CCM), Jumanne Maghembe ameilalamikia mitandao ya kijamii na kuionya tabia ya kuwaibia wateja wao pesa pindi wanapojiunga na vifurushi vyao.

Akizungumza hayo ametolea mfano mtandao anaotumia yeye wa Vodacom kuwa umekuwa ukimuibia sana dakika zake pindi anapojiunga vifurushi vyao na amewataka kuacha mara moja tabia hiyo.

Hivyo ameomba serikali kuingilia kati suala hilo ili kuwasaidia wananchi ambao ni wahanga wa wizi huo unaofanywa na mitandao ya kijamii.

”Mitandao ya kijamii kudanganya wateja unanunua muda wa maongezi, unaandika dakika ulizotumia, kama ulikuwa na dakika 200 ukifikisha dakika 45 wanakwambia dakika zako karibu zinakwisha ukipiga tena wanakukatia wanakwambia dakika zako zimekwisha, wizi unatokea sana katika mitandao kwa bahati mbaya mimi kwa experience yangu simu yangu ya vodacom inaniibia sana muda wa maongezi, wakati umefika kwa serikali kuingilia mitandao hii ili isiendelee kuwaibia wananchi, na tumepata nafasi hii kuongea hapa watu wa vodacom wasikie kuwa sio vizuri kutuibia pesa zetu tunazoweka huko” amesema Maghembe.

Hayo yamezungumzwa jana bungeni jijini Dodoma.

Aidha ni kweli kabisa kumekuwa na tabia ambayo mitandao ya simu imekuwa ikifanya kwa wateja wao kuwaibia dakika zao za maongezi jambo ambalo si zuri kwa wateja na mitandao hiyo imekuwa ikifanya jambo hilo kutokana na hali ya ulazima ambayo wateja wanayo ya kutaka kufanya mawasiliano.

Hivyo Serikali ni vyema kulichukua na kuliangalia kwa jicho la tatu suala hilo na kulitatua ili kuwasaidia wananchi ambao wanaumia na wizi huo.
 
Ni kweli kabisa Mhe voda mmekuwa wadokozi, kwa kuwa mnaona hatuna pa kukimbilia ndo maana mmekuwa waizi waziwazi sio. Jifunzeni kwa kampuni ya simu miaka ya sana walikuwa ni waizi wa huduma za simu, ulikuwa ukienda kupiga simu kwao yaani walikuwa wanona watu km vikaragosi tu hawakuwa na ukaribu na wateja wao.

Ulikuwa ukifika pale wanaonekana kwa miungu watu tu. Ila Mungu ni mkuu ilipokuja kuawafika la kuwafika wakaporomoka kwa mkate ulioloweshwa na chai. Ghafla chali chini kule ss hivi nao ni zamu yao ya kujikomba kwetu lakn wapi nasi ndo nyodo imetupanda wala hatusikii wala kuona.

Hivyo nyie voda jifunzeni kutoka kwa makosa ya wenzenu wa kale lisije wapata lililowapata wenzenu. Alichosema Mhe J. Maghembe ni kweli na uhakika.

Kazi kwenu voda kuanza kujirekebisha.
 
3451eefcc9cbc71b5afab6937fac0b5c

Mbunge wa Mwanga (CCM), Jumanne Maghembe ameilalamikia mitandao ya kijamii na kuionya tabia ya kuwaibia wateja wao pesa pindi wanapojiunga na vifurushi vyao.

Akizungumza hayo ametolea mfano mtandao anaotumia yeye wa Vodacom kuwa umekuwa ukimuibia sana dakika zake pindi anapojiunga vifurushi vyao na amewataka kuacha mara moja tabia hiyo.

Hivyo ameomba serikali kuingilia kati suala hilo ili kuwasaidia wananchi ambao ni wahanga wa wizi huo unaofanywa na mitandao ya kijamii.

”Mitandao ya kijamii kudanganya wateja unanunua muda wa maongezi, unaandika dakika ulizotumia, kama ulikuwa na dakika 200 ukifikisha dakika 45 wanakwambia dakika zako karibu zinakwisha ukipiga tena wanakukatia wanakwambia dakika zako zimekwisha, wizi unatokea sana katika mitandao kwa bahati mbaya mimi kwa experience yangu simu yangu ya vodacom inaniibia sana muda wa maongezi, wakati umefika kwa serikali kuingilia mitandao hii ili isiendelee kuwaibia wananchi, na tumepata nafasi hii kuongea hapa watu wa vodacom wasikie kuwa sio vizuri kutuibia pesa zetu tunazoweka huko” amesema Maghembe.

Hayo yamezungumzwa jana bungeni jijini Dodoma.

Aidha ni kweli kabisa kumekuwa na tabia ambayo mitandao ya simu imekuwa ikifanya kwa wateja wao kuwaibia dakika zao za maongezi jambo ambalo si zuri kwa wateja na mitandao hiyo imekuwa ikifanya jambo hilo kutokana na hali ya ulazima ambayo wateja wanayo ya kutaka kufanya mawasiliano.

Hivyo Serikali ni vyema kulichukua na kuliangalia kwa jicho la tatu suala hilo na kulitatua ili kuwasaidia wananchi ambao wanaumia na wizi huo.
Vodacom, Tigo nk siyo mitandao ya kijamii.
 
Mchaga ni mchaga tu pamoja na ukwasi wote alionao hakubaliwa kuibiwa hata buku

Ila kijana wa kitanzania akipata milion mbili bar zote zitamfahamu
 
Tigo inaongoza Kwa wizi duniani sio Tanzania pekee
Hawa jamaa nadhani wana punguza speed ya internet makusudi....siku hizi nikijiunga kifurushi ikifika saa tatu au nne usiku..yaani ghafla network inakuwa ya kobe...yaanj hata youtube kuingia haiwezekani.

Then...baadaye unapokea ujumbe kuwa kifurushi kimeisha....lakini walikujengea mazingira ya kutokukimaliza kifurushi.
 
Mchaga ni mchaga tu pamoja na ukwasi wote alionao hakubaliwa kuibiwa hata buku

Ila kijana wa kitanzania akipata milion mbili bar zote zitamfahamu
Wewe una funza kichwani sio bure.. Unakereketwa na wachaga kisa roho zenu mbaya juu yao kama nyoka Koboko.. Huyu Mchaga wa wapi? Maghembe ni Mpare wa Usangi wilaya ya Mwanga..
 
Hawa jamaa nadhani wana punguza speed ya internet makusudi....siku hizi nikijiunga kifurushi ikifika saa tatu au nne usiku..yaani ghafla network inakuwa ya kobe...yaanj hata youtube kuingia haiwezekani.

Then...baadaye unapokea ujumbe kuwa kifurushi kimeisha....lakini walikujengea mazingira ya kutokukimaliza kifurushi.
Ukiona mpaka mbunge analalamika ujue hapo kuna shida hii mitandao inatupiga Sana hasa Kwenye internet bundle huku ndiko wizi wa mchana unafanyika
 
3451eefcc9cbc71b5afab6937fac0b5c

Mbunge wa Mwanga (CCM), Jumanne Maghembe ameilalamikia mitandao ya kijamii na kuionya tabia ya kuwaibia wateja wao pesa pindi wanapojiunga na vifurushi vyao.

Akizungumza hayo ametolea mfano mtandao anaotumia yeye wa Vodacom kuwa umekuwa ukimuibia sana dakika zake pindi anapojiunga vifurushi vyao na amewataka kuacha mara moja tabia hiyo.

Hivyo ameomba serikali kuingilia kati suala hilo ili kuwasaidia wananchi ambao ni wahanga wa wizi huo unaofanywa na mitandao ya kijamii.

”Mitandao ya kijamii kudanganya wateja unanunua muda wa maongezi, unaandika dakika ulizotumia, kama ulikuwa na dakika 200 ukifikisha dakika 45 wanakwambia dakika zako karibu zinakwisha ukipiga tena wanakukatia wanakwambia dakika zako zimekwisha, wizi unatokea sana katika mitandao kwa bahati mbaya mimi kwa experience yangu simu yangu ya vodacom inaniibia sana muda wa maongezi, wakati umefika kwa serikali kuingilia mitandao hii ili isiendelee kuwaibia wananchi, na tumepata nafasi hii kuongea hapa watu wa vodacom wasikie kuwa sio vizuri kutuibia pesa zetu tunazoweka huko” amesema Maghembe.

Hayo yamezungumzwa jana bungeni jijini Dodoma.

Aidha ni kweli kabisa kumekuwa na tabia ambayo mitandao ya simu imekuwa ikifanya kwa wateja wao kuwaibia dakika zao za maongezi jambo ambalo si zuri kwa wateja na mitandao hiyo imekuwa ikifanya jambo hilo kutokana na hali ya ulazima ambayo wateja wanayo ya kutaka kufanya mawasiliano.

Hivyo Serikali ni vyema kulichukua na kuliangalia kwa jicho la tatu suala hilo na kulitatua ili kuwasaidia wananchi ambao wanaumia na wizi huo.
Voda ni wapuuzi wapuuzwe niko mwisho mwisho kuwakusanyia makbrasha, utafiti Wangu binafsi. Hata ninapoandika washanipiga tangu jana halafu customer care yao sikuhzi mnaajiri yoyooo bila kuwatrain jinsi ya kuongea na wateja,...much know kabla hujaeleza tatizo ashakudakia law sauti ya kubana pua.

Wanafikr kila anaepiga simu customer care ni layman wa mawasiliano. VODACOM mnanisoma mlipo, tafadhali sana.....halafu rekebisheni vifurushi vyenu.
 
Hawa jamaa nadhani wana punguza speed ya internet makusudi....siku hizi nikijiunga kifurushi ikifika saa tatu au nne usiku..yaani ghafla network inakuwa ya kobe...yaanj hata youtube kuingia haiwezekani.

Then...baadaye unapokea ujumbe kuwa kifurushi kimeisha....lakini walikujengea mazingira ya kutokukimaliza kifurushi.
sheria zipo na viwango vya tozo wizara husika na TCRA ndiyo taaabu kubwa! !
 
Mimi Vodacom wananiibia sana, mara 1 niliweka salio la Tshs 2000 successfully nikajarib kupiga simu nikaambiwa sina salio, mara ya pili hivyo hivyo sasa ndio nikaja kushtuka nikaweka tena mara nyengine kwa akili zangu timamu kwa siku nyengine ngoja niweke tena leo salio halafu nicheki salio, nikaweka tena 2000 apo apo tu nimemaliza kuweka vocha nikacheki salio ikasema salio lako ni 0.,

Lakini jengine linalokera zaidi kwa hawa Vodacom ni kukuunga katika vile vifurushi ambavyo vinakula hela automatically uwekapo salio ilhali mtu hajachagua ile huduma hili jambo limeniudhi zaidi,

Lakini nimeudhika zaidi na zaidi nilipompigia opereta wao anitowe kwenye hivyo vifurushi akanimabia lazima nifanye mwenye kwa simu yangu ili nijitoe yeye hawezi. Sasa unakuta ata wewe mwenyewe ukijaribu kujitoa kwenye hivyo vifurushi vya ajabu ajabu systeam yao wameiseti inakataa kukutoa katika hivyo vifurushi nimekuwa nikijaribu mara kadhaa kwa siku tofauti haiwezekani kujitoa wanakula hela zetu kama nchwa.

Mi nadhan Vodacom ni mtandao mbaya zaidi Tz.
 
Back
Top Bottom