Vodacom tunaomba maelezo pesa hizi za wavuja jasho zimeenda wapi.....

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,524
...Baada ya maafa ya meli kule Zanzibar,VODACOM kupitia kitengo chake cha VODACOM foundation waliendesha ule mchango kupitia kwenye simu,ambao ulikuwa unatuma neno msaada kwenda namba fulani(nimezisahau kwasasa) na kukatwa shs 1000 kwa kila sms...Na kwa kuwa serikali ya umoja wa kitaifa iligoma kupokea ule mchango wa VODACOM...naomba kuuliza,Je,pesa zetu ziko wapi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom