Mimi baada ya kukosa maada hapa Arusha kuna dada anaitwa Yunis yuko Customer Care pale Block 4 Mlimani City ananiambia niende dar akanionyeshe matumizi yangu huyu dada ni -------- sija wahi ona kwanza anajifanya anajua na haki kumsikiliza mteja amebaki kungangania kuwa matumizi yako yako yametumika kwenye data eti 600mb na tshs 30337 ndani ya saa tatu, ------- zenu vodacom waizi wakubwa nyie nije dar kufatilia 30337 au nyie matahira nini mnanilipia gharama mnajua nauli ya arusha - Dar nitalala na wewe nikifika dar, nitakula kwako, nitakunywa kwako, kazi zangu huku utazifanya wewe, hivi wewe yunis unaakili kichwani kwako kweli..nimekuuliza swali dogo tu 30337 ni sawa na kb/mb/gb ngapi? + 600mb...
speed ya net yao ndogo sana labda airtel..
Mkuu nijulishe kuhusu internet unapewa mb ngapi?
wadau vodacom sasa hivi nao ni wanasiasa,nimenunua umeme kwa m-pesa tangu saa mbili mpaka sahvi wamechukua pesa yangu hawajanitumia namba zangu za umeme nawapigia wananipa majibu kama ya mawaziri mizigo,,,ah tanzania kiboko.[/Yalinipata juzi. LUKU iliisha saa 1.30 usiku watoto wakanipigia simu nikanunua umeme kupitia VODA sikupata majibu mpaka saa 11 alfajiri. Tulilala giza. Pesa niliyokuwa nayo ni hiyo tuu. Kwa nini wasingenirudishia pesa yangu kwa wakati nikafikiria utaratibu mwingine. Najiuliza hivi hii ni VODA ileile ya zamani au ni mfano wake?]
kusema ukweli......sielewi huko bongo hii mitandao inafanyaje kazi......kwa jinsi mnavyoelezea hapa......gharama za mawasiliano bongo ni KUBWA mno mno mno....sijui ndugu zangu mnawezaje.....ama kweli hiyo ndio bongo.......
inawezekana wewe umepoozwa tu mimi wameniibia tshs 30337 na 600mb eti wananiambia zimetumika kwenye data ndani ya saa tatu na ni kwenye simu..voda ni waizi..na ninahamia airtel
Habari ndugu mteja, tafadhali tutumie PM ya namba yako kwa msaada zaidi na pole sana kwa usumbufu uliojitokeza.wadau vodacom sasa hivi nao ni wanasiasa,nimenunua umeme kwa m-pesa tangu saa mbili mpaka sahvi wamechukua pesa yangu hawajanitumia namba zangu za umeme nawapigia wananipa majibu kama ya mawaziri mizigo,,,ah tanzania kiboko.
Habari Gregory,tunahitaji kusaidiana kwa hili,tafadhali tutumie namba PM kwa mawasiliano zaidi,pole sana.Pole sana ndugu, kunakipindi walikula hela yangu na umeme sikupata kabisa. Tangu kipindi hicho nimeshapata somo.
Habari Gregory,tunahitaji kusaidiana kwa hili,tafadhali tutumie namba PM kwa mawasiliano zaidi,pole sana.
Zaidi ni kifurushi cha 7000 kwa wiki...
Unapewa sek 21000 kupiga voda kwenda voda na sek 420 mitandao yote...
Vodacom, kazi ni kwako.
Hivi TCRA mali ya vodacom nini,hili Kampuni linakera sana huduma zake kwa sasa zimekuwa mbovu hakuna..Mkuu jana nimepiga simu voda wananiambia kuwa hawawezi kuyaona matumizi ya simu yangu. Nimeibiwa zaidi ya sh. 100000 muda wa maongezi. Nimeamua kuuhama huu mtandao. Nimeamini watu wayasemayo juu ya wizi wa wazi wa vodacom dhidi ya wananchi wanyonge wa nchi hii.