Vodacom Tanzania
Official Account
- Aug 12, 2013
- 324
- 126
- Thread starter
-
- #1,421
'Umeunganishwa na huduma ya breaking news BURE kwa siku 7.Kujiondoa bonyeza 1'
Sender:NIPASHE.
Huu ndo ujumbe niliopotokea just from nowhere na nilipojaribu kujiondoa kwa kubonyeza hiyo 1naambiwa FAILED(nimerudia several times lkn IMEGOMA) na tayari nimetumiwa breaking news moja mpaka sasa.
NASEMA HIVI:
Sihitaji hizo breaking news na ninaomba mniondoe haraka,utaniunganishe bila ridhaa yangu halafu uning'ang'anie? Sio biashara kabisa na mkianza kunikata tu,NATUPA LINE MAANA HUU SIYO UTARATIBU.
Huyu 'Sender: Nipashe' kanitumia hiyo breaking news na karudia kanitumia mara 4..! Mimi sikujiunga na huduma hii na kweli ukijiondoa inagoma, au Vodacom nao wameanza!!
Kifurushi cha internet bila kikomo cha week ni wizi mtupu kama inawezekana kifutwe najua kinafaida kwenu ila ni kwakuwa mnatuibia mana ukijiunga yani hata ku download picha ni ngumu, huu ni wizi na mnafanya maksudi,
Tafadhalini tunaomba kifurushi cha data kikibaki walau mb 10 basi uwe alerted maana utashangaa hata kama ulikua na salio la sh 10,000 litaliwa baada ya kuisha kifurushi then ndio unapata sms kuwa huna salio
Huu ni wizi
Habari za asubuhi. Tafadhali tunaomba namba zenu za simu kwa msaada zaidi.
Habari, ujumbe wa kufahamisha kuwa kifurushi kimekwisha unatumwa ndugu mteja, pia tunakushauri kuangalia salio la kifurushi kadri unavyoweza kulingana na matumizi, hii itakusaidia kupunguza matumizi ya Intaneti pindi kifurushi kinapokaribia kuisha. AhsanteTafadhalini tunaomba kifurushi cha data kikibaki walau mb 10 basi uwe alerted maana utashangaa hata kama ulikua na salio la sh 10,000 litaliwa baada ya kuisha kifurushi then ndio unapata sms kuwa huna salio
Huu ni wizi
Huduma iliunganishwa kwa muda wa siku 7 bure na mteja anaweza kujiondoa endapo haihitaji huduma hiyo kama ambavyo umeweza kujiondoa. PoleNimefanikiwa kujiondoa baada ya wao kunitumia tena habari nyingine na mimi kureply kwa kuandika 1.
HATA hivyo sijapenda kabisa huu utaratibu wa kuunganishana kinyemela.
VODACOM hakika mnakera sana.....mimi hivi sasa ni takriban wiki tatu sasa kila nikiunga chekabombastiki ambayo inajumuisha kifurushi na internet,huwa siambulii kitu katika kuzifaidi MBs zangu kabisaa(yaani net inakuwa veeery slow).Nimejaribu kupiga simu customer care maneno maneno mengiii ooooh tunakutumia configuration setting nyingine na tatizo litakwisha lakini wapi.Mbona hapo nyuma nilikuwa na browse net vizuri tu.SHIDA NI NINI HEBU NIWEKENI WAZI MAANA MBs zangu huwa zinapotea bure tu mpaka nitoe kadi niweke kwenye modem ndio walau nazifaidi.
NJOONI MNIJIBU HUKU MAANA MIMI HUU NAONA NI WIZI TU!
Habari flora msoffe utaratibu ni huo huo katika kuangalia salio, *149*01# chagua 1 kisha chagua Internet & BB ->Internet & BB10->Salio la Kifurushi
Habari, ujumbe wa kufahamisha kuwa kifurushi kimekwisha unatumwa ndugu mteja, pia tunakushauri kuangalia salio la kifurushi kadri unavyoweza kulingana na matumizi, hii itakusaidia kupunguza matumizi ya Intaneti pindi kifurushi kinapokaribia kuisha. Ahsante
Huu wizi wa mchana wa VODACOM lazima ukomeshwe, wanakuwa kama vibaka wavaa tai!
Nipo nje ya nchi simu yenye simcard ya Vodacom niliisahau Tz nimewaomba walioko huko wa-recharge wanaambiwa(Vodacom) wanashindwa kuitambua number. Nini ninaweza kufanya ili line isiingizwe sokoni?
Habari ngafu tafadhali wafahamishe waweke vocha katika simu hiyo sasa.Pole sana, tafadhali tutumie namba hiyo PM tuiangalie katika mifumo yetu.
Nimefanikiwa kujiondoa baada ya wao kunitumia tena habari nyingine na mimi kureply kwa kuandika 1.
HATA hivyo sijapenda kabisa huu utaratibu wa kuunganishana kinyemela.
Pole sana, tafadhali tunaomba namba yako ya simu na eneo ulilopo kwa msaada zaidi.
Pole sana, tafadhali tunaomba namba yako ya simu na eneo ulilopo kwa msaada zaidi.