Bora wewe, nimejiunga na kifurushi cha 1999, sijapiga hata simu mmoja, sijatuma hats SMS moja lakini nimetumiwa SMS ( Mara tu baada ya kumpigia mtu ambaye hata hiyo namba yake ilikuwa inatumika) kuwa kifurushi chako kimeisha! Nilipojaribu kuwapigia customer service (na sijapiga namba 100 for the past three months) nikaambiwa kuwa "Ndugu mteja, umefikia kikomo cha kupiga siku BURE mwezi huu kwenda Vodacom huduma Kwa wateja. Tafadhali pigs nam a 15366 Kwa Tsh. 100 tu Kwa kila siku. Ahsante"
Kuanzia Leo, ninaanza kuwapa promo Airtel, Tigo, Zantel na TTCL Kwa mtu nitakaemuona tena bure!
Habari Mtoboasiri tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi, pole sanaBora wewe, nimejiunga na kifurushi cha 1999, sijapiga hata simu mmoja, sijatuma hats SMS moja lakini nimetumiwa SMS ( Mara tu baada ya kumpigia mtu ambaye hata hiyo namba yake ilikuwa inatumika) kuwa kifurushi chako kimeisha! Nilipojaribu kuwapigia customer service (na sijapiga namba 100 for the past three months) nikaambiwa kuwa "Ndugu mteja, umefikia kikomo cha kupiga siku BURE mwezi huu kwenda Vodacom huduma Kwa wateja. Tafadhali pigs nam a 15366 Kwa Tsh. 100 tu Kwa kila siku. Ahsante"
Kuanzia Leo, ninaanza kuwapa promo Airtel, Tigo, Zantel na TTCL Kwa mtu nitakaemuona tena bure!
Habari mkuu xyz123 namba hizi ndizo zinazosaidia katika kuanza na uchunguzi juu ya suala hili.Ndugu yangu mtachukua namba za watumiaji wa vodacom wangapi.? Haya malalamiko ni indication ya kwamba huduma zenu ni mbovu kupita maelezo. hata tukitoa namba zetu kuwapa, mtanitatulia tatizo mimi tuu ambaye nimepita JF, vipi wale wengine ambao hata smartphone ya kuingia mtandaoni hawamiliki.?
Hapa issue sio kutoa namba na kuwapatia, hapa issue ni kufanya auditing ya system yenu upya na kuangalia perfomance yake. Mimi binafsi nimeiweka line yangu ya vodacom kabatini mpaka pale mtakaporekebisha huduma zenu, na nasikitika kusema kuwa nishawashawishi wateja wenu zaidi ya watano wanaotumia vodacom kuhama vodacom, na nitaendelea kushawishi wengine mpaka pale mtakapojirekebisha.
Habari Mtoboasiri tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi, pole sana
Habari mkuu xyz123 namba hizi ndizo zinazosaidia katika kuanza na uchunguzi juu ya suala hili.
Binafsi natumia Voda to 2006 sijawahi kukumbwa na tatizo kama hilo hata siku moja.
Yaelekea wewe ni mmoja wa wadau wa hiyo kampuni ya ovyo, wezi, vibaka na majambazi wasio na utu wala huruma kwa wananchi wa nchi hii.
Msidanganyike; ipo siku makampuni haya yaliyowaweka viongozi wa nchi hii mifukoni kwa vijirushwa rushwa yatakimbizwa na wananchi wenye hasira mara tu ukombozi na uhuru wa kweli utakapowaidia. CCM ni zaidi ya janga.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Binafsi nimeshaacha mtindo wa kuacha salio kwenye laini ya Voda kabisaaa tangu nilipoibiwa salio mfululizo! Kuna siku simu yangu ililala na salio la 7,000/= na asubuhi nikaongeza 4,000/= nikiwa na matumaini ya kununua kifurushi cha 10,000/= na kujibiwa "Huna salio la kutosha" nilipoangalia salio eti lilikuwa 4,4000/=! Nilipojaribu kuwatafuta ili kuwasilisha malalamiko nilielekezwa namba ya kulipia ili niongee nao na hakuna la maana walilonieleza kwa zaidi ya mara kumi; kucheki salio sasa lilisoma alfu tatu na ushee! Shit Vodacom!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Habari mkuu xyz123 namba hizi ndizo zinazosaidia katika kuanza na uchunguzi juu ya suala hili.
Mkuu nadhani hapa ulitaka kuandika 4,400/= ila ukateleza, tafadhali rekebisha ili hoja iwe na mantiki iliyokusudiwa.
Sawa Mkuu. Ni 4,400/= naona button imeteleza.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hili tatizo siyo mimi pekeyangu nakumbana nalo,nafikiri mmeshaona watu wengi tu wakiwa na same complain..kwanini msitatue haya matatizo kwa ujumla na kuacha kuulizia individual namba? Nishapiga kwa watoa huduma wenu mara tatu bado hakuna utatuzi..au nyie ni tofauti na tunaozungumza nao?Habari Platnam, tafadhali tutumie taarifa zifuatazo PM kwa msaada zaidi.
Namba ya mtumaji
Namba ya mpokeaji
Muda ujumbe uliotumwa
Voda mnaboa sana boreshen vifurushi vyenu jaman