Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,536
- 3,887
Asante sana mkuuBaada ya zantel ni tigo hao voda unaweza kutafuta huduma za pesa mpaka hasira.
Mkuu tumejaa uwanja wa Amani kusherehekea mapinduzi hapa, karibu kupitia tv yako.
Wangese kweli yaani.Huku ni zero hamna lolote mtandao wa majizi tu kila mtu analalamika mawakala wao pamoja na mafreelancer wanafanya kazi kufaidisha huku malipo no sifuri MLISHAFELI SIKU NYINGI ILA KINACHOWASHIKILIA KIDOGO NI MPESA NGOJA TU WAMEKUJA WENGINE AKINA TIGO AIRTEL NA HALOPESA KWISHA HABARI YENU MAJIZI MAKUBWA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajibu ovyo kuleMatatizo yenu humu hayajibiwi, nendeni kwenye kurusa ya Facebook ya Vodacom Tanzania huko wanatoa majibu Kwa matatizo ya msingi.
VODACOM LINE NIMESAJILI TAREHE 16/05/2019 MWANZA VODACOM SHOP PPF TOWER MBONA NIKIANGALIA KWA *106# INASEMA SIJASJILIWA? TATIZO LIKO WAPI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia TTCL mkuu kule hakna mambo sijui kupiga TTCL kwenda TTCL kule ni mitamdao yoteWezi nyinyi mmeongeza gharama kimyakimya bila kutoa taarifa,siku hizi tukinunua vifurushi au muda wa maongezi zinakwisha mapema sana isivyo kawaida,nimeacha kutumia VODA
Sent using Jamii Forums mobile app