if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,477
- 2,089
Sema speed yao ya konokono kutegemea na unapoish TTCL kwa tsh 1000 unapata gb 10 kuanzia sa 6 mpaka 12 asubuhi.Mtandaoni gani naweza pata bundles za usiku?
Halotel 1500,free internat kuanzia 6 -12 asubui.speed iko poa sana.Sema speed yao ya konokono kutegemea na unapoish TTCL kwa tsh 1000 unapata gb 10 kuanzia sa 6 mpaka 12 asubuhi.
God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
Sina shida ila ndo ivyo nimesha fanya imegoma kutokaShida yako tujaribu, sijaribu ng'oo
Tumia tgo au halotel hutajutia,angaria eneo lako ulipo,mara nyingi palipo na mtandao mzuri wa voda na halotel nao wako vizuri sana,utapata gb 1 kwa wiki,na mb 500/ kwa jero lako kwa siku dk na sms.
Vodacom ni ya msafara wa raisi na wengine ,nyie mlio nje ya huo msafara kaeni pembeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika mkuu kama apa kuna utapeli? au umekurupuka? incase kuna utapeli embu elezeaKenge mkubwa we mleta uzi,Nenda ofisini kwao hao matapeli wenzio.Voda na utapeli wenu wapi na wapi?
[emoji16] [emoji16] [emoji16]usikekuwa unataka tujiunge kwa njia isiyo na ridhaa[emoji23][emoji23][emoji23].
mara paaap,karibu ndugu mkorinto tunafurahi kupata member mpya,ukijitoa tunakubaka[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Hahahahaa!Shida yako tujaribu, sijaribu ng'oo
Mtu mgumu kuamini kitu mpaka ajionee mwenyewe especially kwa kugusa,kunusa,kulamba etc
Zantel ndio inakamata namba wani huko.Ndiyo maana huku Zanzibari wateja wa voda wanatafutwa kwa tochi one reason ni kama hivyo.
TTTCL ukiwa na tsh 500 unapata GB 2 kuanzia saa 6 hadi saa 12Mtandaoni gani naweza pata bundles za usiku?