Mkuu papiso nimekupm tokea asubuh iyo number iliyofungwa baada ya kununua umeme wa elfu 31500 na sijaupata mpaka leo na mpaka leo number imefungiwa,nlipiga customer care nikaambiwa et imekuwa reported imeibiwa kitu ambacho sijawahi fanya mkuu.kuibiwa simu big NOOOO
unaweza uka-attach hapa kwa faida ya wengi nadhani huwa ni page moja tu lile lenye bei ya mtu akituma kiwango fulani mpaka fulani commission ni kiasi fulaniOkey nitumie email yako nikutumie kama unataka hardcopy cjui ntakupataje mkuu ninazo nyingi tu
unaweza uka-attach hapa kwa faida ya wengi nadhani huwa ni page moja tu lile lenye bei ya mtu akituma kiwango fulani mpaka fulani commission ni kiasi fulani
Ila mkuu bado upo enzi za simu za Siemens unatuma plain badilika bwana kuna whatsap viber tango tweeter hata Facebook au hata jamii forum we unakomaa na SMS kaka
Kwa maneno haya mbona umananishangaza? Je wewe ni mtoa huduma wa voda? Kama mnataka watu tutumie hizo wasap na viber kwanini mmeweka sms?? Je nasisi ambao hatuna uwezo au hatutaki kutumia hizo smati phone tusiwasiliane???? Embu nieleweshe mkuu umemanisha nini!!??
Kaka tokea nianze kazi sijapata kuona mkoa wenye matatizo kama kigoma sijui kwa nini management hawalitii mkazo kutatua hilo tatizo moja kwa moja
Inakuaje voda inawateja wengi kuliko airtel lakini airtel wapo ktk ten large tax payers TRA vodacom wasiwepo?mbinu gani mnatumia kukwepa kodi?
Hauna taarifa za kutosha. Mwaka jana 2013 ktk wiki ya TRA ya mlipa kodi, Top 3 companies zilizopewa certificate ya TRA compliance na zilizoibuka Top ktk kulipa kodi iko hvi;
1. Tanzania Cigarette Company (TCC)
2. Vodacom Tanzania Limited
3. Tanzania Breweries Limited.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Halafu naomba msaada wa kueleweshwa kwamba ukiwa una mtafta mtu kwa njia ya trancing call halafu cm yake inaita but haipokelewi system inaweza tambua alpo? naomba huo msaada mkuu.