Mkuu hebu fuatilia huu wizi wa pesa yangu 20,000/= na sikupata jibu la maana.
Ulipokua off mtandao wa Voda ulikua tip top labda mpesa kwenda au kutoka benk ndio ulisumbua kidogo. Tangu wewe urudi ofcn VODA imekua majanga. mpesa hakuna service. msg zinaenda baada ya masaa mpaka matano. Nadhani wewe ni saboteur hapo voda. Kamalizie viroba vyako tuachie voda yetu
aah ah ahh jumamosi iliyopita nilicheka sana, nilimtumia txt mchumba wangu anatokea arusha, akaja safari nzima ya masaa 10 then amefika tukala tukalala kama saa4 usiku txt zangu zikadeliver....akaniuliza beibi una matatizo eeh? nikauliza nini?eti namtext usiku, kuangalia kumbe ni za asubuhi yake, yaani vitukooooo!!!!!!!!!ndugu umenikumbusha iyo kitu...jamaa alete majibu y inakuwa ivo???
aah ah ahh jumamosi iliyopita nilicheka sana, nilimtumia txt mchumba wangu anatokea arusha, akaja safari nzima ya masaa 10 then amefika tukala tukalala kama saa4 usiku txt zangu zikadeliver....akaniuliza beibi una matatizo eeh? nikauliza nini?eti namtext usiku, kuangalia kumbe ni za asubuhi yake, yaani vitukooooo!!!!!!!!!ndugu umenikumbusha iyo kitu...jamaa alete majibu y inakuwa ivo???
ishu nyingine ni kuwa jitaidi kuwa na committed staffs siku izi ukitaka kupata simu ya mchumba yupi anaongea na nani au mme au mmke anachat na nani unapata kwa commission ndogo sana, offcourse inalinda maadili ila inaongoza kwa kuvunja ndoa,,,,mmuache kutuwaweka watu part time na kuwalipa ela ndogo eti laki na nusu part time, iyo inaleta mianya ya corruption... kama unapisha nipe elfu 20,000/- then taja hata namba tano then uniambie unataka kujua nini au nani anachat na nani nikultetee statements...na nashauri mngekuwa kama tigo, ,mteja akidelete message na kwenye system inafutika ila kuna binti aliniambia juzi kuwa kama mteja akidelete nyie voda mnaweka kwenye delete box ila staff wenu wanaweza kuendelea kuzisoma zoote,nikabisha nikachat na kufuta, jion akanieleza kila kitu nilichofanya iyo ni mbaya ndugu, privacy ni muhimu zaidi,
ndoa zetu ziko at risk kwa vi elfu 10 isirini tu.........
Jitahidi huenda ukarudiasha wateja.
Mimi nilipiga simu kulalamikia kutokutumiwa umeme wangu wa elfu 30,nikagombezwa baada ya apo nkafungiwa line yangu kupiga customer care naambiwa et kuna mtu ama report et simu yangu iyo imeibiwa,na mimi ndo mmilki wa iyo namba.msaada tafadhali
Duuh hii kali mkuu, watu wamekula mpunga wako halafu wanakupiga biti!!
- Fanyieni kazi ubora wa huduma ya kifedha hasa utumapo fedha benk toka kwenye simu huchelewa sana fedha kuweza onekana katika account ya benki husika, au uamishapo fedha toka benki kwenda kwenye namba ya simu pia fedha huchelewa kufika kwenye simu. UKILINGANISHA NA HUDUMA ZA KIBENKI TA TIGO PESA huwa ni hapo kwa hapo within 5 seconds fedha inakuwa tayari imeonekana kama ni benk au katika simu
- Bila shaka nimeeleweka.
kuna line yangu ilipotea nikapotezea sasa anatumia m2 mwengine na usajili mwengine ili likoje hapo.
Hapa nimepapenda,siku hizi nikiongea na CC akijitambulisha jina naandika katika kalatasi kabisa!sasa je ukipiga akapokea yule yule alienikwanza?nitajuaje ninaeongea nae supervisor?Ukiwa na tatizo we piga 100 utasidiwa wakati wowote in case muhudumu amekujibu vibaya usikimbilie kutupaka tope idara nzima recordi ule muda piga tena utapokelewa na mwingine omba kuongea na supervisor ndani ya masaa machache muhudumu aliyekujibu vibaya atakupigia simu kukuomba radhi sisi kwetu Mteja ni mfalme