Baada. Ya off yangu najiandaa kuingia ofisini najua kuna watu wana matatizo na mtandao wetu na wamejaribu kupiga simu ila imeshindikana kwa namna Moja au nyingine chukua nafasi hii funguka na ninakuhaidi kukuasaidia coz Nina access ya system zote nadhani nimeeleweka
Baada. Ya off yangu najiandaa kuingia ofisini najua kuna watu wana matatizo na mtandao wetu na wamejaribu kupiga simu ila imeshindikana kwa namna Moja au nyingine chukua nafasi hii funguka na ninakuhaidi kukuasaidia coz Nina access ya system zote nadhani nimeeleweka
Tumia jina lako halisi au kampuni yenu kama TCRA wanavyofaya. Watu kama nyinyi msaada wenu ni mkubwa hivyo ni vizuri kuwa verified user!
kama kaamua kusaidia watu atumie jina halisi,na hapo hata yeye atajitangaza countrwide kama huduma yake itapendeza watu.Tumia jina lako halisi au kampuni yenu kama TCRA wanavyofaya. Watu kama nyinyi msaada wenu ni mkubwa hivyo ni vizuri kuwa verified user!
Pole sana unaweza nitumia namba ya meter plzLUKU LUKU Vodacom mliniingiza matatizoni nimenunua hamna token et system ipo busy! Sasa kama ipo busy kwa nini mmechukua hela yangu tunaishi nyumba za kupanga wenzenu sasa ikitokea ivo ukawalaza watu giza you can imagine.
Usajili wenu majanga- mtu nimesajili vodashop mara mnatuma message laini yako itafungwa kaisajili angalieni basi mfumo wenu wa usajili..
Mkuu hebu fuatilia huu wizi wa pesa yangu 20,000/= na sikupata jibu la maana.Baada. Ya off yangu najiandaa kuingia ofisini najua kuna watu wana matatizo na mtandao wetu na wamejaribu kupiga simu ila imeshindikana kwa namna Moja au nyingine chukua nafasi hii funguka na ninakuhaidi kukuasaidia coz Nina access ya system zote nadhani nimeeleweka
Kuna wizi mkubwa kwa fedha za salio za wateja unaoendelea sasa hivi katika mtandao wa Vodacom.
Kwa vile hili si jungu bali ukweli nimisha report wizi huo katika kitengo cha malalamiko TCRA kwa hatua zaidi.
Nimeweka salio la Tsha 10,000 mchana wa leo kwa Mpesa ref Y23SY687 na baada ya muda mfupi nikakuta salio langu la maongezi ni sifuri.
Nikanunua vocha na kutumiwa tshs 10,000 na hela yote imekatwa tena.
Wateja wa Vodacom jihadharini, kuna mwizi kaingia mtandaoni Vodacom
UPDATE
=====
VODACOM wamefanya ustaarabu wa kunipigia baada ya kuona detail ya transaction hapo juu, na kuiona kwenye mtandao wa Jamiiforums.
Kimsingi wameapologise kwa mtafaruku uliotokea lakini wamenieleza nifike ofisini kwao kuona aian ya simu ninyotumia isije ikawa data apps ziko wazi.
Na kweli baada ya maongezi ya kuchunguza, mobile data setting ilikuwa ON, na mimeizima sasa.
Hata hivyo ni vema nitaenda kupata maelezo ya kuyeyuka kwa salio langu , karibu 20,000, kwa siku moja.
Wanabodi mtajulishwa inawezekana kuna wenye tatizo kama langu.
UPDATE
=====
Nimeonana na waheshimiwa sana wa Customer Care pale Block 4 Mlimani City.
Cha kusikitisha ni wao kushindwa kuchukua malalamiko yangu na kuyafanyia kazi, na hii ni licha ya kuwaelewesha kuwa hili tukio nalijawahi kunitokea na hii kuwa ni mara ya kwanza.
Hawa jamaa wa Customer Care ni kama mabalozi waliopewa jukumu la kusafisha kampuni ya VODACOM hata kama inanuka kwa wizi uliodhahiri.
Kitu ambacho hawajui ni kuwa nilifanya due diligence kupitia wafanyakazi ndani ya VODACOM walionidhihirishia kuwa kuna wafanyakazi wasio waaminifu ambao wana access na personal security settings za wateja.
Na wafanyakazi hao huwa "wapiga kishenzi" fedha za wateja.
Kwa kifupi mtu wa Customer Care ameshindwa kuniconvince na maelezo yake ya upotevu wa Tshs 20,000 katika mtandao wa VODACOM.
LUKU LUKU Vodacom mliniingiza matatizoni nimenunua hamna token et system ipo busy! Sasa kama ipo busy kwa nini mmechukua hela yangu tunaishi nyumba za kupanga wenzenu sasa ikitokea ivo ukawalaza watu giza you can imagine.
Usajili wenu majanga- mtu nimesajili vodashop mara mnatuma message laini yako itafungwa kaisajili angalieni basi mfumo wenu wa usajili..
Mpaka natoka ofisini sijapata mtu ambaye yuko serious
Kwa wale ambao hawaamini Vodacom tuna system mbalimbali ila muhimu ni mbili ya kwanza ni I cap au morpheas hii inacheza na laini taarifa zako zote za matumizi hupatikana hapa mahali ulipo kufunga na kufungua laini kuzindua laini na kufuta laini Mara nyingi hii system ikibuma kazi huwa zinasimama upande wa call centre
Nyingine ni hii ya Mpesa ambayo INA deal na account zote hii ikibuma Huduma za Mpesa husimama nchi nzima taarifa zote zimefadhiwa humu na server zote ziko London
Nipo ofisini sasa hapa makao makuu tatizo la masuala ya kibenki yana upana wake coz yana involve two systems mmoja wapo akizembea kidogo ni Tatizo Mpesa iko poa ila inachangamoto nyingi ila kama wewe ni mtumiaji wa Mpesa na unampunga mrefu linda password yangu name jenga tabia ya kubadili Mara kwa mara
Vodacom CS Support mna taarifa na huyu mtu????