Vodacom Tanzania code ya saliodata

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
Hi ndugu
Nina modem nyeupe za voda zenye option ya wifi nikituma sms via web page inayotokea nikiconnect tu modem kwenye mozila firefox
NATUMA sms saliodata KWENDA 15300 inanirudishie ujumbe jaribu tena baadae kila ninapotuma tangu last week. Na line ipo kwenye hii modem yangu. What wrong kwa vodocom Tanzania
 
ukijribu piga *149*60# kisha press OK,

hii ndo tunatumia katika simu, jaribu chomoa simcard weka kwa handset kisha piga hiyo utapata balance!
 
Back
Top Bottom