Vodacom si waaminifu wanatoa siri za wateja!

Sontojo

Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
63
Reaction score
20
Kiwango cha uaminifu kwa company ya mawasiliano ya Vodacom inatia mashaka sana.
Nikiwa mtumiaji wa mtandao wa voda yamenikuta baada ya kugundua sms zangu zimevuja tena mbaya zaidi bila ridhaa yangu.
Kuna mtu ameweza ku access siri zangu na ameniambia neno baada ya neno kuhusu sms zangu. Tena mimi na yeye tupo mikoa tofauti.
Hii ni mbaya sana sana sana maana mimi si mwalifu na zile sms ni za personal ila za siri na hapakuwa na sababu ya kuzifikia maana zimeniondolea utu mbele ya yule mtu!

Nimeumia sana siwezi elezea zaidi ila voda na baadhi ya wafanyajazi wake si waaminifu!

Mimi si mwajiriwa wa company yoyote shindani ya mawasiliano hivyo ninayoeleza si mambo ya ushindani.

IMENIUMA SANA SANA SANA!
 
Chukua hatua mkuu wasiliana na TCRA.Pole sana

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ndivyo haoo hata hapa tetesi zinasema si salama sana siku hizi
 
taifa hili lililoozeshwa kuna sehemu gani ambayo iko makini,yasiyowezekana yanawezekana tanzania
 
Kiwango cha uaminifu kwa company ya mawasiliano ya Vodacom inatia mashaka sana.
Nikiwa mtumiaji wa mtandao wa voda yamenikuta baada ya kugundua sms zangu zimevuja tena mbaya zaidi bila ridhaa yangu.
Kuna mtu ameweza ku access siri zangu na ameniambia neno baada ya neno kuhusu sms zangu. Tena mimi na yeye tupo mikoa tofauti.
Hii ni mbaya sana sana sana maana mimi si mwalifu na zile sms ni za personal ila za siri na hapakuwa na sababu ya kuzifikia maana zimeniondolea utu mbele ya yule mtu!

Nimeumia sana siwezi elezea zaidi ila voda na baadhi ya wafanyajazi wake si waaminifu!

Mimi si mwajiriwa wa company yoyote shindani ya mawasiliano hivyo ninayoeleza si mambo ya ushindani.
gu.
IMENIUMA SANA SANA SANA!
pole ndg,but uyo wa mwanza kwa nini afuatilie issue zako
icon13.png
 
Chukua hatua mkuu wasiliana na TCRA.Pole sana

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Asante sana mkuu. Yaani hapa kama nipo uchi vile. Inauma sana sana sana bora usimuliwe si yakukute!
 
Haaa yaani udukuaji sasa hapa bongo imefikiwa kiwango cha Edward Snowden?
 
pole ndg,but uyo wa mwanza kwa nini afuatilie issue zako
icon13.png

Kaka pota mambo mengine si ya kuweka wazi hapa ubaoni ila naweza kukuambia kwa ridhaa yangu kama upo interested maana hiyo ni ridhaa yangu sasa ila nimeumia mkuu kwa kiwango cha juu kabisa!
 
Kiwango cha uaminifu kwa company ya mawasiliano ya Vodacom inatia mashaka sana.
Nikiwa mtumiaji wa mtandao wa voda yamenikuta baada ya kugundua sms zangu zimevuja tena mbaya zaidi bila ridhaa yangu.
Kuna mtu ameweza ku access siri zangu na ameniambia neno baada ya neno kuhusu sms zangu. Tena mimi na yeye tupo mikoa tofauti.
Hii ni mbaya sana sana sana maana mimi si mwalifu na zile sms ni za personal ila za siri na hapakuwa na sababu ya kuzifikia maana zimeniondolea utu mbele ya yule mtu!

Nimeumia sana siwezi elezea zaidi ila voda na baadhi ya wafanyajazi wake si waaminifu!

Mimi si mwajiriwa wa company yoyote shindani ya mawasiliano hivyo ninayoeleza si mambo ya ushindani.

IMENIUMA SANA SANA SANA!

Kama mtu kapata upenyo wa kusoma txt zako inaweza kua

1. Amezipata kweli kutoka vodacom(kuna ndg yangu alishawahi kufanya hivyo kwenye namba ya mpenzi wake,mtumishi mmoja wa voda akawa anampa data zote)

2. Kuna uwezekano wa kulipia au kununua software zinazoweza kutrack txt za namba yoyote duniani na akawa kaweka namba yako,txt zako zote,in and out anazipata.

Usipeleke lawama zako zote voda,angalia pia kuna uwezekano akatumia software kukufuatilia nyendo zako.
 
Siri ni mtu kuongea ana kwa ana bila kuandika popote,ukishaandika tuu mahali sii siri tena
 
Siri ni mtu kuongea ana kwa ana bila kuandika popote,ukishaandika tuu mahali sii siri tena.Wamarekani wanasoma email zetu zote
 
Siri ni mtu kuongea ana kwa ana bila kuandika popote,ukishaandika tuu mahali sii siri tena

mwaka jana nikatumiwa sms yenye password ya nmb mobile,nilifuta bila kusoma,nikawaambia natoa pesa yangu na akaunt yenu mchukue
 
Kama mtu kapata upenyo wa kusoma txt zako inaweza kua

1. Amezipata kweli kutoka vodacom(kuna ndg yangu alishawahi kufanya hivyo kwenye namba ya mpenzi wake,mtumishi mmoja wa voda akawa anampa data zote)

2. Kuna uwezekano wa kulipia au kununua software zinazoweza kutrack txt za namba yoyote duniani na akawa kaweka namba yako,txt zako zote,in and out anazipata.

Usipeleke lawama zako zote voda,angalia pia kuna uwezekano akatumia software kukufuatilia nyendo zako.
Unajidanganya wewe, taja hiyo software maana watu wangekuwa uchi wote. Siku hizi vijana ni matatizo, hela kidogo wanashawishika
 
Mkuu umejiridhisha pia kwamba huyo/hao unaotumiana nao sms sio source ta hiyo leakage?
 
Mimi naweza kuona sms za mtu yeyote na sifanyi kazi na mtandao wowote na simu. So its very possible kwamba hata voda hawajahusika. Ukibisha nipe namba yako nikuanike hapa hapa JF.
Acha kujifagilia hapa wewe. Utakuja ingia matatizoni bure, hujui hilo ni kosa kisheria?
 
Back
Top Bottom