Vodacom si waaminifu wanatoa siri za wateja!

Vodacom si waaminifu wanatoa siri za wateja!

Unajidanganya wewe, taja hiyo software maana watu wangekuwa uchi wote. Siku hizi vijana ni matatizo, hela kidogo wanashawishika
usibishe mkuu hayo yapo na mengine ukiambiwa yapo utashangaa
 
Mimi naweza kuona sms za mtu yeyote na sifanyi kazi na mtandao wowote na simu. So its very possible kwamba hata voda hawajahusika.

Ukibisha nipe namba yako nikuanike hapa hapa JF.

acha uwongo wewe Haya chukua Hii then niambie 0756000555
 
Hebu sikiliza unaweza ukawalaumu Voda kumbe simu yako imewekewa Mobile Spy Applicatiom zipo nyingi na moja wapo ni mSpy

Labda kama simu yako ni ya Nokia Touch au Mchina asiyesupport Store yeyote ile....

Chunguza hilo kwanza usilalamike
 
Mimi naweza kuona sms za mtu yeyote na sifanyi kazi na mtandao wowote na simu. So its very possible kwamba hata voda hawajahusika.

Ukibisha nipe namba yako nikuanike hapa hapa JF.

0717 219305
 
Mwache ajifurahishe tu kuilaumu Voda,ninachojua mimi hakuna sehemu ambayo sms content unaweza kuziona. unaxhowezaona ni namba tu zilizotumika kutuma msg. Meseji yenyewe kwa service provider hazionekani...
 
Tumia land line or stop sending txt mara nyingi piga ongea hzo secret zako....
 
Mimi naweza kuona sms za mtu yeyote na sifanyi kazi na mtandao wowote na simu. So its very possible kwamba hata voda hawajahusika.

Ukibisha nipe namba yako nikuanike hapa hapa JF.

Anika za hii 0683 611116 nitembee uchi hadi Mji mwema nikitokea Fire.
 
Unajidanganya wewe, taja hiyo software maana watu wangekuwa uchi wote. Siku hizi vijana ni matatizo, hela kidogo wanashawishika

Mkuu unabisha kwa kua hujui au unabisha kua hakuna jambo kama hilo?kubisha jambo usilolijua ni dalili za ujinga,mimi aina hiyo ya software ninayo,inaitwa sms peeper.natrack txt za namba yoyote nayoitaka. We endelea kubisha.
 
Mimi naweza kuona sms za mtu yeyote na sifanyi kazi na mtandao wowote na simu. So its very possible kwamba hata voda hawajahusika.

Ukibisha nipe namba yako nikuanike hapa hapa JF.

Mkuu achana nao,haina haja,mwenye mada atakua kaelewa,wanaobisha ni wajinga wengine,,,wajinga wasiotaka kuelewa,ni hatari sana.
 
Nilichojifunza hapa ni kuwa vyote vinawezekana kuwatumia wafanyakazi wa voda au kutrack kwa kutumia hizo software je kuna njia yeyote ya kuzuia mtu asiweze kusoma smg zako hewani?
 
Nilichojifunza hapa ni kuwa vyote vinawezekana kuwatumia wafanyakazi wa voda au kutrack kwa kutumia hizo software je kuna njia yeyote ya kuzuia mtu asiweze kusoma smg zako hewani?

Hakika mkuu,na ndicho tunamshauri mdau kua njia zote mbili,kati ya hizo moja inaweza kuwa imetumika kumfuatilia.

Kwa hizi sim zetu za kawaida sio rahisi kutofuatiliwa hewani,,kwa simu zinazotumia minara haiwezekani kukwepa,ulimwengu wa sasa na kama unatumia hivi vifaa vya kielektroniki ni vigumu kujificha.
 
Kiwango cha uaminifu kwa company ya mawasiliano ya Vodacom inatia mashaka sana.
Nikiwa mtumiaji wa mtandao wa voda yamenikuta baada ya kugundua sms zangu zimevuja tena mbaya zaidi bila ridhaa yangu.
Kuna mtu ameweza ku access siri zangu na ameniambia neno baada ya neno kuhusu sms zangu. Tena mimi na yeye tupo mikoa tofauti.
Hii ni mbaya sana sana sana maana mimi si mwalifu na zile sms ni za personal ila za siri na hapakuwa na sababu ya kuzifikia maana zimeniondolea utu mbele ya yule mtu!

Nimeumia sana siwezi elezea zaidi ila voda na baadhi ya wafanyajazi wake si waaminifu!

Mimi si mwajiriwa wa company yoyote shindani ya mawasiliano hivyo ninayoeleza si mambo ya ushindani.

IMENIUMA SANA SANA SANA!

Pole sana tunapaswa kua makini sana
 
Ila mkuu Angalia inawezekana Unakosa Chance hivi hivi za usalama wa Taifa... Wamekufuatilia wajue upoje halafu we ushamwaga mpunga Teyari

Hahaha hahahah
 
Washtaki utakuwa bilionea gafla.
 
Mwache ajifurahishe tu kuilaumu Voda,ninachojua mimi hakuna sehemu ambayo sms content unaweza kuziona. unaxhowezaona ni namba tu zilizotumika kutuma msg. Meseji yenyewe kwa service provider hazionekani...

Acha uongo wewe! Mara ngapi TISS,polisi au TAKUKURU wanaenda kwenye mitandao ya simu kuchukua mawasiliano?? Mara ngapi wanatumia ushahidi mahakamani pindi ukila mlungula?? Kila kitu kinaonekana hadi maongezi hua wanarekodi!! Shauri yako
 
Back
Top Bottom