Vodacom si waaminifu wanatoa siri za wateja!

Vodacom si waaminifu wanatoa siri za wateja!

Kiwango cha uaminifu kwa company ya mawasiliano ya Vodacom inatia mashaka sana.
Nikiwa mtumiaji wa mtandao wa voda yamenikuta baada ya kugundua sms zangu zimevuja tena mbaya zaidi bila ridhaa yangu.
Kuna mtu ameweza ku access siri zangu na ameniambia neno baada ya neno kuhusu sms zangu. Tena mimi na yeye tupo mikoa tofauti.
Hii ni mbaya sana sana sana maana mimi si mwalifu na zile sms ni za personal ila za siri na hapakuwa na sababu ya kuzifikia maana zimeniondolea utu mbele ya yule mtu!

Nimeumia sana siwezi elezea zaidi ila voda na baadhi ya wafanyajazi wake si waaminifu!

Mimi si mwajiriwa wa company yoyote shindani ya mawasiliano hivyo ninayoeleza si mambo ya ushindani.

IMENIUMA SANA SANA SANA!

Kuwa jasiri, lifikishe TCRA na kwa boss wa Vodacom. This is very bad indeed!
 
Kufetch SMS content unahitaji top three signatories including TCRA.
 
Kiwango cha uaminifu kwa company ya mawasiliano ya Vodacom inatia mashaka sana.
Nikiwa mtumiaji wa mtandao wa voda yamenikuta baada ya kugundua sms zangu zimevuja tena mbaya zaidi bila ridhaa yangu.
Kuna mtu ameweza ku access siri zangu na ameniambia neno baada ya neno kuhusu sms zangu. Tena mimi na yeye tupo mikoa tofauti.
Hii ni mbaya sana sana sana maana mimi si mwalifu na zile sms ni za personal ila za siri na hapakuwa na sababu ya kuzifikia maana zimeniondolea utu mbele ya yule mtu!

Nimeumia sana siwezi elezea zaidi ila voda na baadhi ya wafanyajazi wake si waaminifu!

Mimi si mwajiriwa wa company yoyote shindani ya mawasiliano hivyo ninayoeleza si mambo ya ushindani.

IMENIUMA SANA SANA SANA!

SI KOSA LA VODA,NI hata mie nikijua namba yako naweza ku read 50 sent sms,50,received..ni PM NIKUFUNDISHE.
 
Washitaki tcra kwa kuwa ni kosa kutoa siri za mteja,
 
Kwanza nashukuru sana kwa jinsi ambavyo wadau mmechangia
Pili, mimi niliweka wazi kuwa mimi sifanyi kazi kwenye kampuni yoyote shindani ya voda.
Tatu, habari ambazo zimetolewa au kufikia mtu asiyehusika si za wizi wala kutembea na mke wa mtu.
Hata hivyo kwa baadhi ya watu wajue kuwa mawasiliano ya mtu hayatakiwi kuwekwa adharani bila ridhaa yake.
Nimekaa na wakili mmoja leo kwa masaa mawili nikamweleza habari nzima ukweli amesema hapa kuna mkono wa mtu. Ninaposema voda itambulike kuwa hakuna voda bila wafanyakazi na sisi wateja. Hilo ni jina tu la biashara. Staff!!!!!!
Anyway ni rahisi sana likitokea kwa mwenzio. Omba lisikukute. Mawasiliano ni siri ya mtu na lazima yaheshimiwe.

Alopata siri zangu yupo kanda ya mashariki mimi nipo magharibi jamani wapi na wapi yeye kushika simu yangu. Pili simu yangu ina passworld na sina utaratibu wa kubadilisha simu au kushikiwa simu na mtu yeyote.

Anywany omba yasikukute!
 
Kama mtu kapata upenyo wa kusoma txt zako inaweza kua

1. Amezipata kweli kutoka vodacom(kuna ndg yangu alishawahi kufanya hivyo kwenye namba ya mpenzi wake,mtumishi mmoja wa voda akawa anampa data zote)

2. Kuna uwezekano wa kulipia au kununua software zinazoweza kutrack txt za namba yoyote duniani na akawa kaweka namba yako,txt zako zote,in and out anazipata.

Usipeleke lawama zako zote voda,angalia pia kuna uwezekano akatumia software kukufuatilia nyendo zako.

yap nakuunga mkono hata mimi nimewahi itumia irimradi muhusika simu yake awe anaitumia kufungua internet basi data yoyote unaweza kuiacces sio sms hata calls
 
SI KOSA LA VODA,NI hata mie nikijua namba yako naweza ku read 50 sent sms,50,received..ni PM NIKUFUNDISHE.

Watu mnaamua kudanganya mchana kweupe. Ingekuwa watu wa kawaida kujua namba tu kunakufanya ujue msg za mtu mbona ingekuwa siri za watu wengi zinajulikana! Kuna namna ya ku-track msg lakini inabidi mtu uwe na info nyingine za mhusika zaidi ya namba. Wanaoweza ku-track msg namna hii ni wajuzi ambao wewe kamwe huwezi kuwa kwenye listi yao
 
yap nakuunga mkono hata mimi nimewahi itumia irimradi muhusika simu yake awe anaitumia kufungua internet basi data yoyote unaweza kuiacces sio sms hata calls

Hizi ni kazi wanazoweza kufanya wajuzi na wewe kamwe huwezi wacha mabobish ya kijiweni hapa!
 
Kubisha jambo usilolijua ni ujinga mkubwa sana,litle learning is very hazardous.

Wewe ndio hujui kitu unachozungumza! Kuingia simu ya mtu INAWEZEKANA lakini sio kwa watu wa level yako... yahitaji mabingwa wa ku-hack ambao nina uhakika wewe huwezi kuwa mmoja wao!
 
kiwango cha uaminifu kwa company ya mawasiliano ya vodacom inatia mashaka sana.
Nikiwa mtumiaji wa mtandao wa voda yamenikuta baada ya kugundua sms zangu zimevuja tena mbaya zaidi bila ridhaa yangu.
Kuna mtu ameweza ku access siri zangu na ameniambia neno baada ya neno kuhusu sms zangu. Tena mimi na yeye tupo mikoa tofauti.
Hii ni mbaya sana sana sana maana mimi si mwalifu na zile sms ni za personal ila za siri na hapakuwa na sababu ya kuzifikia maana zimeniondolea utu mbele ya yule mtu!

Nimeumia sana siwezi elezea zaidi ila voda na baadhi ya wafanyajazi wake si waaminifu!

Mimi si mwajiriwa wa company yoyote shindani ya mawasiliano hivyo ninayoeleza si mambo ya ushindani.

Imeniuma sana sana sana!
kuna soft ware inaitwa spy phone inadaka kila kitu angalia matumizi ya cm yako nani alikua anaishika, kama izo sms zilikua too personal kinacho onekana ulikua unachepuka wife au demu wako kakustukia sms gani za ajabu za kuficha kiasi hicho labda uwe unakula binadamu
 
Hiyo ndo hasara ya android.Kuna application inaitwa phone no tracker amekutrack

Phone tracker ipi inayo weza kufanya kazi hzo ktk android? Mm nimeingia nimeziona nyingi sana nashindwa kuijua hiyo yenye app hii
 
Jamani HUWEZI kupata sms za mtu kwa software zilizipo sokoni hadi uweke hiyo software kwanza katika simu ya mtu unayemkusudia.
Mspy na zingine zote inatakiwa uipate simu ya muhusika uiweke hiyo kitu ndo utaweza kumdaka.
HALINA UBISHI HILO
 
Track Ur Phone
Android | iPhone Track
You are here: Home / mSpy / Is there a way to get someone elses texts without a device having to be installed on
Is there a way to get someone elses texts without a device having to be installed on
November 27, 2013 by Vinz Leave a Comment

This is simply impossible.. you have to install an application on the target phone.. and once you have installed that application you can read all his text.. that app will hide itself and the owner will never be able to find it.
mSPY is one of those app that allows you to do some, other than text message tracking it also does these function.
Quick Features List:
• Track Phone Location
• Read Phone-SMS-Remotely
• iMessages-and-Whatsapp-messages tracking
• Read Phone Contacts
• See-Call History
• Track Internet Browsing History
• See All Photos Captured
• Record Apps Usage
• Auto Answer (-Spy Call-)
And MORE……………
You can download _ at-mSpy.Com. hope this help!

Tags:

trackurphone com
app for getting someone else phone text and calls
can i track anyone call list without any device?
get someone elses text free
how can i get to see someone elses text messages free
how to forward someone else text messages and calls to your phone
how to get sms sent by someone to someone else on ur mobile phone
is it a way someone can text someone from someone elses phone without having their phone
is there an app you can download to receive text messages from someone else phone
Filed Under: mSpy
Speak Your Mind

Name *

Email *

Website

Notify me of follow-up comments by email.

Notify me of new posts by email.

Track iPhone
Is there a way to auto-forward the text messages to another phone?
How to See Whats On My Girlfriends Phone
How to check your wifes text messages without touching her phone?
How to log into someones facebook account without them knowing?
Can you track a cellphone in the US without the owner knowing?
How can i spy my wife iPhone 4S for free?
Can i track my daughters iphone 4s without her knowing?
Can u track someone elses iphone without them knowing
I want to get access to my GF Yahoo Mail Inbox?
www.mSpy.com I want to track my boyfriend phone and text messages
Track Android Phone
how to get someones password for fb, how to read watsapp messages from another phone without touching it, spy on kids phone without letting them know, Need a app to spy on my boyfrieds cellphone thats not android, hw 2 find his location by knowing his cell number on android, sms spy without access to target phone free, keylogger android, track sms without installing software onto target phone, view text messages online boost mobile, how can I hack my girlfriends whatsapp, how can i spy on my husband ipjond 5, app for my phone to send me my girlfriends sms, how can i view my text message history online, how to hack someone fb, how to track my girlfriend using smartphone without her knowing, track u boyfriend sms, whatsapp boys number, tracking someones text messages for free, how can i get into my gfs fb, apps to track someones texts
Recent Posts
mSPY Review – Does mSPY Really Work?
How to See Whats On My Girlfriends Phone
How to trace a cell phone on google earth?
Is there any apps that is actually a phone tracker that WORKS?
How can I access someone yahoo account without knowing password?
Tags
Android Apps android phone application Auto Answer boost mobile boyfriend business phone cell phone cellphone cellphone forum computer cricket phone Cydia employees Facebook free word Google How can i track a cell phone husband iphone key logger keylogger Freeware keystroke logger software mobile phone mSPY phone calls phone owner Quick Features List Samsung Galaxy spy spy software straight talk straight talk cell phone target target phone texting text message text messages the target phone Track Facebook Track Internet Browsing History Track Phone Location verizon family plan WhatsApp spy Software Yahoo Mail
Disclaimer
Track Ur Phone does not promote Espionage, You are required to notify users of the device that they are being monitored. Trackurphone.com is a part of mSPY Affiliate Program
Top Posts & Pages
How can i spy on my husband cell phone without touching his cell.. FREE
How to read my girlfriends whatsapp messages without her knowing?
i wanna check my husband whatsapp chat history How?
Is there a way i can intercept my girlfriends text messages without touching her phone
How to log into someones facebook account without them knowing?
RETURN TO TOP OF PAGE
COPYRIGHT © 2014 ·PROSE THEME ON GENESIS FRAMEWORK · WORDPRESS · LOG IN
 
Wewe ndio hujui kitu unachozungumza! Kuingia simu ya mtu INAWEZEKANA lakini sio kwa watu wa level yako... yahitaji mabingwa wa ku-hack ambao nina uhakika wewe huwezi kuwa mmoja wao!

Ndio maana nimekwambia uwezo wako wa uelewa na elim ni mdogo,mimi naongelea commercial available software wewe unajua ni kuhack,kuna vitu huelewi na hutokuja kuelewa.
 
Back
Top Bottom