The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,077
Jamani HUWEZI kupata sms za mtu kwa software zilizipo sokoni hadi uweke hiyo software kwanza katika simu ya mtu unayemkusudia.
Mspy na zingine zote inatakiwa uipate simu ya muhusika uiweke hiyo kitu ndo utaweza kumdaka.
HALINA UBISHI HILO
Hili ndio tatizo la watanzania wengi,ukijua au uwezo wako wa uelewa kwa kua umefikia hapo unadhani kila kitu kiko hivyo,umesemea mspy kwa kua ndio unayoijua na ukadhan hiyo ndio software pekee ya kutrack txt za mtu duniani,nikupe nayoitumia mim,,sms peeper,kaisome uone inafanyaje kazi na usikalili,najua umekalili ndio maana unabisha vitu usivyovijua mdogo wangu.