Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

VPL, Yanayojiri viwanjani leo;

Mechi kati ya Polisi Tanzania na Mwadui FC imeahirishwa baada ya Uwanja wa Mwadui Complex kujaa maji

Mechi kati ya Lipuli FC na Ndanda FC imeahirishwa baada ya Uwanja wa Samora kujaa maji kutokana na mvua zinazonyesha.
 
Yanayojiri viwanjani VPL

Pambano la KMC na JKT limevunjwa na mwamuzi baada uwanja wa Uhuru kujaa maji huku ikiwa hawajafungana
 
Leo kwa asilimia kubwa Azam anaweza kuifunga Simba au kupata sare. Maana akili zote za mnyama zipo March 8 kuna jambo lao wanataka kulifanya mbele ya Rais wa CAF akiwa jukwaani.
 
Naam burudan ya soka safi hupatikana Msimbazi, Azam lazima afe leo.

Ila hii mvua inatia mashaka.
 
Kikosi cha leo
FB_IMG_15833344853930155.jpeg

It's Scars
 
Back
Top Bottom