Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,673
- 7,563
Kupitia Tour ya IShowSpeed tunategemea ongezeko kubwa la Live Streaming na content creators wengi kuwa Live Streamers kupitia mitandao ya kijamii hasa Twitch ambao ndio ulikuwa mtandao uliokataliwa barani Afrika. Mtu wa Afrika ilikuwa ngumu kupata watazamaji kwenye mitandao kama Twitch. Lakini baada ya Tour hii watu wengi wataanza kujiunga na Live Streaming platforms kama YouTube, Facebook, TikTok na Twitch kwa kazi moja tu ambayo ni Live Streaming.
Watu sasa wanawatazama content creators kama IShowSpeed na Mr Beast kama role models wao na si kina Albert Einstein. Live Streamers na content creators ndio Mabilionea wapya.
Baada ya ziara hii trust me Nchi kama Kenya na nyinginezo zenye uhuru wa matumizi ya ,mitandao watu wataanza kufanya Live Streaming. Bongo pia hatuajaachwa Nyuma