Vodacom nimewachoka

Vodacom nimewachoka

Nimehama jana sitaweka salio voda tena mwanzo walikua wanakata mia nikagombelana na wahufumu nikaaua kutonunua vocha nkawa naweka kwa mpesa sasa hivi walijinyea kupunguza mb nimesajili tgo leo ndo nimenunua bando wao watabaki kunuka mavi waliokunya mm siwatawazi nasonga mbele
 
Back
Top Bottom