feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 8,532
- 17,215
Kuna siku niliweka pesa 1500 nikajiunga kifurushi cha tigo(saizi yako) sms ikarudi kuwa nimeunganisha dk,mb na sms kwa wiki nikaanza kupiga simu kama dk 6 ikakata nikajua mtandao kupiga naambiwa sina salio la kutosha,,ikanibidi niangalie kifurushi nakuta hamna kuwapigia kuwaeleza kuwa nimejiunga na sms wamenirudishia walikataa kata kata kwahiyo mitandao yote wanazingua ila voda ndo vichaa zaidi huduma zao ghali na mbovuWezi haswaaaa..... Na ukiwapigia cm hawana Cha maana Cha kukusaidia.... Hi tabia yao ya kukata salio kidogo kidogo nliamuaga kutokuweka salio la kawaida kwa cm nlikia naweka mpesa tuuu Sasa,,, Sasa ivi hata mpesa cweki TENAAA .... Najua mimi mmoja tuu nikiwahama hawapati hasara yoyote lakn ndo tayar washampoteza mteja ivyooo

