Mkuu, pole sana. Huo mtandao wa Voda Lowasa na Rostam ndio wenye hisa nyingi. Lowasa kafilisika kutokana na kutumia fedha nyingi kwenye uchaguzi. Rostam Aziz naye kafilisiwa na Lowasa. Hivyo hawana namna ya kuongeza kipato zaidi ya kuwabana wateja wa kampuni yao
sio wwe hata mimi nahisi nawaibia yaani Mb 350 kwa 500 tuHalotel ndio mpango mpaka nahisi mimi ndio nawaibia nini? cheap,fast,durable.
Si kweli net sijaanza kutumia leo. Nimeanza kutumia neti kabla systeam ya vifurishi haijaanza na nimetumia TIGO VODA ZANTEL AIR TELL TTCL ishu za computer na IT nazielewa lakini kifurishi kukatwa kabla ya matumizi kufanyika ni trend mpya niliyo experience kwa tigo na voda so far. Nilinunua modem ya 4g ya tigo na offer ya 90 gb kwa miezi mitatu kwa maana kila mwezi 30gb nikajua nimepata kumbe wapi. Ukichomeka tu modem usifanye chochote muda wa masaa matatu mpaka matano utakuta gb 3-4 hamna ilichukua wiki 1 na siku chache kukausha 30gb same thing ikajirudia kwenye 60gb zilizobakia. Sasa jiulize ni application gani hizo zinazo kula 30gb ndani ya wiki? HAPA WIZI TU[emoji47]Kabla hamjatumia vitu (mashikolo) muwe mnauliza kwanza ili mpewe maelekezo na wenye utaalamu na mambo hayo sio kulalamika tu bila point ya msingi, hivi wewe hujui kuwa laptop huwa ina-setting za background updating (yaani kuna software zinaji-update zenyewe kimya kimya tafuta mtu akusaidie settings mimi ni mtumiaji wa Vodacom toka enzi izo 0744 especially kwenye upande wa Internet huko kuliwa kwa mb tatzo ni laptop yako.
Asante nilitaka nimuulize kuhusu auto download hasa kwa PcMkuu naomba kukuuliza Swali la kawaida? Kwenye simu yako au laptop yako hauna app yoyote? Kama unatumia laptop windows yoyote iwe 7,8,10 huwa inajiupdate automatically unless uniambie ulienda kwenye update ukaisete isijiupdate automatically, kwenye simu mkuu kama una app ambazo umeziinstall nazo huwa zinatumia bundle bila hata kutaka na apps hizo zipo nyingi tu, mfano BBC,CNN,ALJAZEERA,WHATSAPP na nyingine nyingi ambazo unaziona hapo kwenye screen yako yote. Vitu vingine kama sio mtaalamu unaweza kuona kama mazingaombwe mkuu a vumilia kidogo kidogo utaelewa tu. Nadhani kipindi cha nyuma mambo yalikuwa mazuri hata bundle wakati linatumika kwa vitu hivi hukuwa unajua ila Magufuli kabana ndio umegundua!
Namna ya kudeactivate background appsBack ground apps ndo zimekula hizo data