Badili rangi mkuu, inatuumiza macho
0.1-5kbps just horrible
hivi kati ya voda lile bundle la wiki na airtel bundle la weiki lipi ni zuri na vipi kuhusu download speed zao pls msaada wadau cuz juzi kt nilinunua la zantel la siku 3 likazinguwa nikashidwa hata ku upload hata page kuwapigia customer care wakasema eti 3g baado aipo fresh baadhi ya maeneo mpaka kariakoo
wote wazushi wanakupa speed kubwa kwa first 2GB afu basi ukizimaliza speed inaporomoka ila voda kidogo afadhali mwanzo inakua about 300-500Kbps ikiporomoka inashuka to 5-20Kbps ambayo ni mbaya ila sometimes inapanda kidogo to 50kbps kudownload ni useless ila kubrowse si mbaya kivile. Ila Airtel mwanzo tu yenyewe ni about 100kbps ikifika 300 maajabu, mara mojamoja sana. Ikishuka speed sasa mpaka Google huwezi ifungua speed inakua 0.1-5Kbps just horrible
hivi kati ya voda lile bundle la wiki na airtel bundle la weiki lipi ni zuri na vipi kuhusu download speed zao pls msaada wadau cuz juzi kt nilinunua la zantel la siku 3 likazinguwa nikashidwa hata ku upload hata page kuwapigia customer care wakasema eti 3g baado aipo fresh baadhi ya maeneo mpaka kariakoo
location yako ndio ipo hivyo mkuu... kwangu mimi airtel and voda zote zina rockin speed. 400 mpaka 800...
hivi kati ya voda lile bundle la wiki na airtel bundle la weiki lipi ni zuri na vipi kuhusu download speed zao pls msaada wadau cuz juzi kt nilinunua la zantel la siku 3 likazinguwa nikashidwa hata ku upload hata page kuwapigia customer care wakasema eti 3g baado aipo fresh baadhi ya maeneo mpaka kariakoo
njoo voda mkoani mpaka raha....View attachment 66299View attachment 66300
haha mkuu kwani unadhani kila mtu ananunua bundles mkuu hehe?asee acheni fix nyie. Mpaka hapo nimegundua we jamaa ni agent wao wa matangazo. Na assume kwa mzigo unaoshusha hapo una-unlimited net 4 a month si ndio? Unlimited ukijiunga(sijasikia redioni nina unlimitted net access hapa) unapata ujumbe kua utapata 3gb baada ya hapo speed itashuka. Na kweli b4 nilikua napata abt 400 sometymes 500, 600 kbps peaks, baada ya hizo GB kuisha sasa nachezea 20kbps na 10 tu. Sasa wewe umeshusha GB 11 una 800Kbps inamaana b4 ulikua na speed kiasi gani. Hata kama ni matangazo wazee muweke element za ukweli kidogo bana.
asee acheni fix nyie. Mpaka hapo nimegundua we jamaa ni agent wao wa matangazo. Na assume kwa mzigo unaoshusha hapo una-unlimited net 4 a month si ndio? Unlimited ukijiunga(sijasikia redioni nina unlimitted net access hapa) unapata ujumbe kua utapata 3gb baada ya hapo speed itashuka. Na kweli b4 nilikua napata abt 400 sometymes 500, 600 kbps peaks, baada ya hizo GB kuisha sasa nachezea 20kbps na 10 tu. Sasa wewe umeshusha GB 11 una 800Kbps inamaana b4 ulikua na speed kiasi gani. Hata kama ni matangazo wazee muweke element za ukweli kidogo bana.
haha mkuu kwani unadhani kila mtu ananunua bundles mkuu hehe?