Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,467
- 3,228
Hai au domant, unaweza kuwa na wateja wengi lakn sio active, mimi nina line 2 za voda sizitumii nyie mnanihesabu shauri yenu nipo zangu halotell GB 3 kwa 3000 kwa week na dakika za mitandao yote kibaoo
Unajua Voda ina wateja kiasi gani mkuu?