Vodacom na kujihusisha na siasa za Tanzania, ndio anguko lake la moja kwa moja?

Mtandao wa voda, natumia pale tu kunapokuwa hakuna network ya Tigo na Halotel.

Tigo unafanya miamala yako toka bank kwenda kwenye simu bure, vodacom lazima ulipie.
 
Nina laini ya voda imekaa tu kwenye simu Wala sijawah hangaika na huu mtamdao eti niweke salio ni mwaka wa pil Sasa ,voda nilikuwa natumia kwenye miamala tu ila baada ya halotel kuwa powa kwenye miamala nimehamia huko jumla jumla ,kila siku wanatuma vi offer Wala siajwah kuhangaika nao na sabab za kuachana na voda ni hiz zifuatazo

1.Nilikuwa nikiweka bando la mb pamoja na dakika ,hiyo speed yake nilikuwa sielew unaweza jiunga dakika 20 ukaongea na mtu dakika 5 ,baada ya masaa manne unapiga et huna salio la kutosha ,hivyo hivyo kwenye mb.

2. Sababu ya pili na ndio kubwa sana ,matapel wa mitandao kutumia sana huu mtandao wa voda bila kukamatwa ,na had saiz ninavyoongea sms za hao matapel hazikauk kila kukicha tena wakiwa na no za voda ,hii ilinitoa sana mood ya kuwa na kampuni la kihuni huni.

3. Kuvujisha Siri za wateja wao kwa serikal ,nadhan hii kitu kinaonekana hakina madhara sana ila muda utaongea . Naishia hapa
 
Vodacom ilishinikiza kupunguzwa kwa timu ligi kuu bara kutoka 20 mpaka 16 halafu leo wanakimbia kudhamini ligi kuu bara.

Kama walikuwa hawana uwezo kwanini walilazimisha timu zipunguzwe kutoka 20 na kuja 16?

Leo wanaikimbia ligi baada ya kuona haibu ya udhamini wa Azzam media ya billion 223.

Vodacom wameshindwa kufahamu kwamba tatizo sio Covid au usajili mpya wa line kwa kutumia mfumo wa alama za vidole Bali ni wa kuendelea kujiusisha na siasa uchwara za ccm miaka nenda miaka rudi.

Leo vodacom wanapata hasara ya billion 30 Mimi siwezi kushutuka hata kidogo na hasara uwenda ikaongezeka miaka ijayo sababu ni kapuni ambayo imekuwa ikiusishwa na ccm kwa muda mrefu.

Namba zake za simu uwa zinatumika na wateja wake hawalindwi kama ilivyokuwa kwa lile tukio la Ben saanane kutekwa huku akitumia line ya vodacom na alikuwa akiwasiliana na mtu mwenye line ya vodacom.

Sababu walizozitoa nyingi hazima mashiko kwamba eti kodi kubwa huu ni uongo na ni kutaka kuichafua serikali kwanini Tigo na airtel wamepata faida?

Kwanini NMB na CRDB wamepata faida?

Hoja yangu ni nini? Kuanguka kwa vodacom ni matokeo ya kujiusisha na siasa za ccm na kutumika kuilinda ccm badala ya wateja wake.

Watu wameisusi kwa sababu ni kampuni inayotoza gharama kubwa za mawasiliano kuliko makampuni yote.

Ukweli mchungu vodacom kama kampuni ya mawasiliano wamejisahau sana na kuwadharau wateja wake na kutokuwa na ubunifu hivyo watu wengi wanaacha kuitumia na kukimbilia mitandao mingine.

Nauliza tu swali ilikuwaje vodacom arusha wakaenda makamani kutoa ushahidi huu ya mteja wao?

Ukweli unabaki pale pale kwamba vodacom kama kampuni ya simu walitoka kwenye misingi yao ya kuanzishwa na kuanza kuingia kwenye siasa sasa watanzania wameisusia

Ukweli tulio wengi tunazo line za vodacom lakini hatuweki tena salio.

Naomba liwe fundisho kwa makampuni mengine na watu wote wanaohitaji watanzania muda Fulani wawasapoti katika kazi zao waache kujiusisha na siasa za ccm au vyama vingine wajikite kutetea haki na kulinda maslahi ya watanzania.

Bado wana muda wa kurudi kwenye misingi na kusikiliza wateja na kuweka huduma kwa kujali kila kipato cha mtanzania na sio kuwa mtandao wa ubaguzi na kufanya kazi na matajiri.
Huna lolote wewe utopolo tupu. Kwa taarifa yako Vodacom ndiyo inaongoza kwa kuwa na wateja wengi zaidi TZ kuliko Mashirika mengine ya Simu. Tigo haipo tena imeshauzwa na imekuwa inapata hasara kwa zaidi ya miaka mitatu. Vodacom ni mali ya watz kama sisi tulionunua share usilete utopolo wako.
 
Nina laini ya voda imekaa tu kwenye simu Wala sijawah hangaika na huu mtamdao eti niweke salio ni mwaka wa pil Sasa ,voda nilikuwa natumia kwenye miamala tu ila baada ya halotel kuwa powa kwenye miamala nimehamia huko jumla jumla ,kila siku wanatuma vi offer Wala siajwah kuhangaika nao na sabab za kuachana na voda ni hiz zifuatazo

1.Nilikuwa nikiweka bando la mb pamoja na dakika ,hiyo speed yake nilikuwa sielew unaweza jiunga dakika 20 ukaongea na mtu dakika 5 ,baada ya masaa manne unapiga et huna salio la kutosha ,hivyo hivyo kwenye mb.

2. Sababu ya pili na ndio kubwa sana ,matapel wa mitandao kutumia sana huu mtandao wa voda bila kukamatwa ,na had saiz ninavyoongea sms za hao matapel hazikauk kila kukicha tena wakiwa na no za voda ,hii ilinitoa sana mood ya kuwa na kampuni la kihuni huni.

3. Kuvujisha Siri za wateja wao kwa serikal ,nadhan hii kitu kinaonekana hakina madhara sana ila muda utaongea . Naishia hapa
Sasa wewe kula kulala utatumia Voda? Wewe endelea na Tigo yako huko!! Jina tu lenyewe TIGO! na imeshauzwa!
 
Huna lolote wewe utopolo tupu. Kwa taarifa yako Vodacom ndiyo inaongoza kwa kuwa na wateja wengi zaidi TZ kuliko Mashirika mengine ya Simu. Tigo haipo tena imeshauzwa na imekuwa inapata hasara kwa zaidi ya miaka mitatu. Vodacom ni mali ya watz kama sisi tulionunua share usilete utopolo wako.
Hata Mimi ni mteja wa voda mzuri sana sikatai ila siweki salio na sitaweka mpaka watakapoifunga ninayo

Nitaweka salio halotel au airtel mpaka mwisho wa maisha yangu mpaka waache uhuni wao hawa jamaa.
 
Hata Mimi ni mteja wa voda mzuri sana sikatai ila siweki salio na sitaweka mpaka watakapoifunga ninayo

Nitaweka salio halotel au airtel mpaka mwisho wa maisha yangu mpaka waache uhuni wao hawa jamaa.
Uhuni upi wamekufanyia mkuu? Mimi ni mmoja wa mmiliki wa Voda kupitia share zangu niambie ili niwafikishie management kama ni malalamiko ya kweli.
 
Uhuni upi wamekufanyia mkuu? Mimi ni mmoja wa mmiliki wa Voda kupitia share zangu niambie ili niwafikishie management kama ni malalamiko ya kweli.
Endelea kuwa mmiliki tu si unasema sina lolote?
 
Nlitaka tu kumpa taarifa mtoa mada kua hasara ya vodacom haitokani na mambo ya kisiasa ya kujihusisha na ccm so lets stop speculating things.

1. Vodacom is still the largest mobile service provider by subsribers mpaka dk hii tunavyoongea na sioni that number ikishuka ktk miaka 3 ijayo as amekua akiongoza tangu ameingia kwenye market.

2. Hasara inayopata vodacom imeikumba mitandao yote, na kila mtandao umekua na namna yake ya ku react to that loss. Tigo ame exit the market kwa kuuza kampuni, airtel ameuza minara yake ku balance vitabu vyake.

3. Hasara kwa mitandao ya simu kunatokana na kushuka kwa matumizi ya voice and sms na kuongezeka kwa matumizi ya data while bei ya data ikiwa chini, watu now wanatuma sms na kupiga simu wa whatsapp or telegram and the likes and has nothing to do with mambo ya kisiasa.huko vijijini watu wanajua vodacom hizi habari za sijui wanashirikiana na ccm mnajua wa mjini na mostly watu wa mitandao ya kijamii.

4. Kulinganisha faida za mabank na kampuni za simu si sahihi, hawa wapo kwenye market tofauti, you cant compare an apple to an orange, ukitaka kumlinganisha vodacom mlinganishe na othet players ktk industry yake.

5. Ni kweli Azam kachukua udhamini wa ligi ila je mnajua kua bei za ving'amuzi vya azam imepanda?

6. Mjitahidi kutafta taarifa sahihi kabla ya kuanza kutoka mapovu..
JF is a home of Great Thinkers lets keep it that way.
Sababu zote ni za kisiasa huwezi amka Leo ukasema umepata hasara kwa sababu ya kodi kubwa kwani kodi inakatwa kwenye nini?

Pumbavu mjifunze kuwa mnajibu hoja

Maana ya kodi ni nini na kodi inakatwa kwenye nini?

Tatizo mmeigeuza nchi ya mafala kama mlivyo mafala nyie

Uendeshaji wa kampuni kubwa kama vodacom unahitaji weredi mkubwa sana sio kuleta majasusi kutoka Kenya au misri kupambana na serikali.

Vodacom ni kampuni itakayokufa kama hawatachukua hatua za haraka ikiwemo kuacha kuongea siasa na kushiriki siasa na kupandisha gharama za mawasiliano.
 
Eti sisi tulio nunua share, ndo mnaliwa timming kupoteza hisa hivyo, Umelala amka mzee
Huna lolote wewe utopolo tupu. Kwa taarifa yako Vodacom ndiyo inaongoza kwa kuwa na wateja wengi zaidi TZ kuliko Mashirika mengine ya Simu. Tigo haipo tena imeshauzwa na imekuwa inapata hasara kwa zaidi ya miaka mitatu. Vodacom ni mali ya watz kama sisi tulionunua share usilete utopolo wako.
 
Huna lolote wewe utopolo tupu. Kwa taarifa yako Vodacom ndiyo inaongoza kwa kuwa na wateja wengi zaidi TZ kuliko Mashirika mengine ya Simu. Tigo haipo tena imeshauzwa na imekuwa inapata hasara kwa zaidi ya miaka mitatu. Vodacom ni mali ya watz kama sisi tulionunua share usilete utopolo wako.
Kuwa na market share kubwa haimaanishi ndio utakuwa unapata faida tu au sana.

Nenda kajifunze concept za market
 
Back
Top Bottom