milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Ishu sio kama unavyofikiri shida ipo kwa mleta maada sababu yeye huwa anadharau vitu ambavyo ni muhimu sana katika maisha ya watanzania yeye sh 20 analialia je wengine ambao wanaumia na mambo mazito zaidi ya hayo na huwa anaandika ujinga tena makusudi sasa why asikilizwe? Kama Ana lalamiko si awapelekee hao kijani wenzake wenye mamlaka na sehemu zote za nchi hiiPilitics again!!
Sio kila kinajadiliwa au kuamuliwa kisiasa.
Tukiendelea kuendekeza siasa kiasi hiki tutakuwa nchi maskini sana.
Toa ushauri au mawazo yako nini kifanyike, ukiitaja CCM au chama chochote haiondoi ili tatizo la walaji(consumers) kudhulumiwa na watoa huduma(service providers).
Sent using Jamii Forums mobile app