Vodacom na CRDB wanavyoibia wateja!

Vodacom na CRDB wanavyoibia wateja!

CRDB eti ukicheki tu balance kwa Sim banking wanakata tshs 364.. Kila ukicheki balance wanakata hela hiyo.. Ni hatari sana huo ni wizi..!! Hivi kucheki balance kwa simbanking kwann wana chaji? Hela yangu, simu yangu, data yangu, hivi kweli hata kucheki balance unanichaji tshs 364..yaani kila ukicheki balance wanakata hiyo hela.. 😡😡😡😡
Kwanini na wewe unapenda kuangalia angalia balance na huku ukijia wanakata kila ukiangalia.
 
SIM BANKING ni huduma inayotolewa na hao wawili defect ya mmoja lazima imhusu mwenzake...Tairi la gari likiharibika tatizo linakuwa ni la gari zima.
Kunakitu huijui hapo!
Ukiona umekatwa kwenye muda wa maongezi! elewa mtandao ndio umehusika na charge hiyo!
kama ukikatwa kwenye account yako ya benki hapo benk ndo inahusika na makato hayo!
hivyo, hiyo sh 20 wanakata Vodacom wenyewe bila kujali kwamba unaomba kuunganishwa na mobile banking ipi! CRDB, NMB or any!
Sasa inatokea, kama tatizo la kukosekana kwa huduma ni la bank(yaani system ya bank ndo yenye shida), wao kama mtandao wanakuwa hawajui mpaka wapewe taarifa na watu wa bank kwamba kunatatizo, na setting za makato inaonekana zipo mwanzoni tu pale unapoomba kuunganishwa na huduma hiyo! wao wanakuunganisha na wanachukua charge yao ya kukuunganisha ikitokea hukufanikiwa kule ulikounganishwa utakacho okoa ni makato yale ambayo ungekatwa kwa huduma ile ambayo ungepewa, ambayo yangekatwa kwenye account yako ya bank!!
yaani ki kawaida kwa mtandao kama Voda unamakato ya aina mbili unapotumia mobile bank! unakatwa kwanye salio lako la sim na unakatwa kwenye account yako kulingana na charges za bank yako!
 
Jaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.
Ivi naww bado VODACOM hawajakushtaki tu
 
Ngoja Jamii media waburuzwe mahakamani alafu we mleta uzi huu jingalao ukaitwe kutoa ushahidi....
Ndy mwanzo wa kutoka ndukiii humuu jf

Ova
 
CRDB eti ukicheki tu balance kwa Sim banking wanakata tshs 364.. Kila ukicheki balance wanakata hela hiyo.. Ni hatari sana huo ni wizi..!! Hivi kucheki balance kwa simbanking kwann wana chaji? Hela yangu, simu yangu, data yangu, hivi kweli hata kucheki balance unanichaji tshs 364..yaani kila ukicheki balance wanakata hiyo hela.. 😡😡😡😡

Wewe ulitaka iwen bure??
Sms unayotumiwa baada ya kuomba salio unataka nani alipia?
 
Muda mwingine muwe mnaweka malalamiko ya maana!
Si watetei lakini logic ya kawaida itumike.
 
Back
Top Bottom