Vodacom na CRDB wanavyoibia wateja!

Vodacom na CRDB wanavyoibia wateja!

Jaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.
Hili jambo mkuu ungelifanyia utafiti kwanza. CRDB umewatuhumu bure wanaokata ni VODACOM, kuondokana na hii kero mimi nilijiunga Simbanking kwa kutumia HALOTEL sikatwi hata sumni. Nasikia pia TIGO na hawakati.
 
Jaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.
Umaskini unakutesa mkuu,tafuta pesa achana na siasa za kulamba miguu akina Bashite utakufa njaa wenzio wanaula.
 
Hawa voda ndio wahuni sio CRDB,
Vodacom wanakuuzia kifurushi cha internet cha Night 4GB kwa Tsh1500 kisha unapotumia ikifika 3GB unaambiwa kifurushi kimeisha.
Nimejaribu zaidi ya mara 4 ni proven issue kabisa.

TCRA tulindeni consumers.
TCRA hii hii mali ya ccm lumumba??
 
Umeibiwa tsh 20 tu unalalamika Kama unataka kujifungua vile, je sisi ambao hatujui 1.5T zilipo tusemeje? Wewe kwako tsh 20 ni kubwa kuliko 1.5T? Mbona sijawahi kuona unalalamika? Acha upumbavu!

Hata hivyo naunga mkono hoja yako maana hawa Vodacom Sim Banking ni wezi sana. Hawana kiwango maalumu cha kuangalia salio lako lililopo kwenye akaunti yako ya CRDB.

Spidi yako ya kucheza na menu ya Sim Banking ndiyo itakayohamua ukatwe kiasi gani. Ukiwa slow au network ikiwa inachelewa ku-respond unaweza kukuta umekatwa hadi 500. Huu ni wizi kwakweli. Kwa nini wasiwe na fixed amount ya kuangalia salio?
 
Tsh 20 kwa wateja milioni 2 ni sh ngapi?kwa siku moja?kwa mwezi ? kwa mwaka?
Kama unaishi kwa kuhongwa au kununuliwa huwezi kuona big picture
 
CRDB ni wezi sana. Kwenye account ya USD huwa kuna vimakato vingi vingi vya kipuuzi visivyo na idadi. Unaweza kukuta wamekata US$ 1.5 hata mara tatu kwenye tarehe moja. Imagine wakiwakata wateja 1000 kwa mwaka wanakula ngapi hapo? Huenda wanahisi watu hawanotice hii kitu ila kwa wanaotumia internet banking tunaona haya mambo
 
Ukiwa unatumia voda ili simbanking ifungue lazima uwe na salio lakini ukiwa unatumia yigo Simbanking inafunguka bure hawakati chochote,mi nilibadilisha namba yangu badala ya kutumia Voda natumia Tigo asahivi
 
Kwa kweli Kuacces SiM banking kupitia Voda kuna uonevu na Wizi mkubwa. Yani mtu unafungua menu ya CRDB unachagua huduma kisha unarequest unaletewa error message , ukicheki balance wamekata. Ukipiga namba zao wanapokea wanakata . Upuuzi huu hadi lini?
 
Maybe wameingia ubia Wa kutafuta hela za kampeni!! Remember kuna vigogo Wa chama Fulani wana Shea voda na kuna kigogo anaiendesha benk yuko chama Fulani
 
TCRA hii hii mali ya ccm lumumba??
Pilitics again!!
Sio kila kitu kinajadiliwa au kuamuliwa kisiasa.
Tukiendelea kuendekeza siasa kiasi hiki tutakuwa nchi maskini sana.
Toa ushauri au mawazo yako nini kifanyike, ukiitaja CCM au chama chochote haiondoi ili tatizo la walaji(consumers) kudhulumiwa na watoa huduma(service providers).
 
Jaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.
wanatuibia wateja lakin sio serikali
Kuna mtambo umefungwa TCRA unasomala wowote unaopitia kampuni yoyote ya simu inakula vat yake, na ndio mana jamaa wameshindwa kudhamini ligi kuu dadadeki
 
Sanaaa nadhani TCRA lazima wawe macho sana kwa hili, ni kama vibaka vile yaani.. Wanadokoa dokoa hela za wateja ila kwa siku wanakusanya millions..!! Inakera mnoo
Wanajua sana hao TCRA ila Wanapiga Kimya.. utadhani wao hawatumii CRDB na SimBanking

Ukiw na Line ya Tigo hakuna makato yeyote ila ukiw na Vodacom unakatwa Pesa na Lazima Uwe na Salio ili uweze Kuingia SimBanking

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jingalao kabla hujaongea kuwa kwanza unafanya utafiti, hata boss wenu alishawaambia msiongee bila data.!

Do you have anything to back up your argument..?
Mkuu,kuna watu majina yao ama ID zao zinasadifu uwezo wao kiakili. Mtu hana ushahidi kuwa ni Vodacom au ni CRDB ndio wanaokata hayo makato,then anakurupuka kama kafumaniwa kuja kuleta ujinga wake hapa.
 
Jaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.
Sasa unamlalamikia nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom