Vodacom na bado mtafilisika kabisa


Uko sahihi kabisa mkuu......najua wanacho fanya ni Market strategy ila ni strategy zilizo na ka ubaguzi flani haiwezekani mtoe kiasi sawa cha pesa na mpatiwe huduma tofauti......haiwezekani eneo moja liwe na unafuu wa huduma eneo jingine liwe na ughari wa huduma.
 
Shida n kwamba sio wote tunanunua mb kwa ajil ya fb,whatapp au instagram. Kwel mfumo wa vodacom siuelewi coz jinsi unavyotumia zaid na bei ndio inapanda badala ya kushuka

Sure naona watakuwa wameiga mfumo wa Tanesco.
 
Uni ofer za voda wamenipa gb 2 + 2 za usiku kwa Tsh 2500 ila bado sijajua usiku wao unaanza saa ngap,anayejua anifahamishe!
 
I[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] viroba hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Embu tujuzane wakubwa, hivi ni kitu gani haswa zinafanya mitandao hii huduma zao hasa hizi vifurushi vya Internet kuwa ghali zaidi kadiri miaka inavyokwenda?
 
Vodacom kesho kukicha nitakuwa ndio mwisho wa kutumia bando lao la vifurishi vya data..wakafie mbele na msemo wao " Yajayo yanafurahisha"
 
Vodacom wameanza kulimia meno na kuishi kama mashetani, so as their esteemed customers
 
vodacom ni majambazi,wauwaji wasiye tumia silaha. wanatakiwa wajumuishwe na kina mredii na kampani yake
 
Uni ofer za voda wamenipa gb 2 + 2 za usiku kwa Tsh 2500 ila bado sijajua usiku wao unaanza saa ngap,anayejua anifahamishe!
Inaanza usiku saa 5 hadi saa kumi 11 alfajiri.
Ikishafika muda huo tu automatically bando la mchana linasimama then linaanza kutumika la usiku.
 
Baada ya kutumia voda kwa miaka zaidi ya 10 hatimaye nimeachana nayo tangu jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…