Vodacom na bado mtafilisika kabisa

inachoma kama pasi..ngoja tule utawala

 
sasa mbona hatujakuuliza kama huwa unasemaga uongo au unaijua bangi ila umeshajitetea tayari...?
 
Hahahah alishtuka kwann mkuu.
 
Hiyo ni kwa ajili ya wateja wenye laini za chuo?
 
asee angalia namna nyingine ya kuwatetea voda,usiwaingize kbsa wakomboz wangu TIGO maana tigo ndio wananifariji kwa ss baada ya voda kunibadilishia gharama za vifurushi kutoka mamia na maelfu mpaka mamia elfu na mamilioni,cjajua pengine voda wameifananisha namba yangu na ya mtu mwingne aliyepata teuzi za jpm
 
OK, unajiungaje nami nijaribu
 
Bora hata vodacom tigo ndo kabisaa vifurushi bei juuu
 

Mna ongea hivyo as if kila mtumiaji wa Voda yuko DAR au TMK.......by the way hivyo vifurushi mnavyo chekelea sijui Dar/TMK supa navyo vita badilika very soon kama walivyo badilisha kwenye “Ya kwako tu”
 

Yawezekana wana ubaguzi kwa wateja (natania). Nimenunua kifurushi cha dar supa UNI nikiwa mikocheni net ikagoma, nikaenda kawe kuwasha net hamna kitu. Nikasogea tangi bovu mambo yakawa yale yale. Nikaenda mwenge nako kifurushi hakiungi net. Sikua na namna tena zaidi ya kuwapotezea na kurudi kwa mtandao wangu wa zaman
 
kama fisi ndo wameingia vodacom kwa hili mpaka m-pesa na m-pawa sasa kuna hujuma huko zinatisha kwenye vifurushi ukinunua sana wanakupandishia bei na wanapunguza.[emoji35][emoji35]
 
Mbona hiyo bando bado ipo kama kawaida.....
 
Ni lawama tu voda wako fresh sana kuliko mitandao mingi sana kwenye swala la data...
 
The more money, the less money haaaaah uchumi uliosoma ni wa yale magari yanayopaki jangwani... Just jork my
 
Internet ni janga kibongo bongo asee,,watu ndo wamefanya pa kupigia hapo
 
Mna ongea hivyo as if kila mtumiaji wa Voda yuko DAR au TMK.......by the way hivyo vifurushi mnavyo chekelea sijui Dar/TMK supa navyo vita badilika very soon kama walivyo badilisha kwenye “Ya kwako tu”
Kwa mfano kifurushi cha chuo ambacho mimi natumia, tokea kianze hakijawahi kubadilika kama ambavyo wengine wanafanya mfano tigo.
Natumia voda, tigo na airtel. Nimegundua hakuna mtandao uliokamilika kwenye kila huduma, mfano kwa huduma za kifedha voda, vifurushi vya bei rahisi airtel (japo spidi ni changamoto upande wa net) nao tigo wana huduma zao nzuri ingawa ni za msimu.
 
Nikiwa kama mtumiaji wa Voda nasema voda ndio mtandao wenye viwango nchi hii kama unataka MB 500 na unaish Dar kuna kifurushi cha Dar mb 500 instagram,whatsapp and facebook ni bure kwa sh 500
Shida n kwamba sio wote tunanunua mb kwa ajil ya fb,whatapp au instagram. Kwel mfumo wa vodacom siuelewi coz jinsi unavyotumia zaid na bei ndio inapanda badala ya kushuka
 
Rudi nyumbani TTCL kumenoga
Shida ya hii mitandao ukitumia mwez tu wanarudi kule kule. Ttcl nmevunja juz hapo hawa voda nawavumilia tu. Tigo ndio usiseme bando zao mb800 sh5,000/ sasa mb 800 unafanyia nn? Pia kumbuka upatikanaji wa sh5,000/ ulivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…