Jackson Turary
Senior Member
- Jan 1, 2014
- 190
- 165
Wezi kishenzi , leo nimewéka 1000 ghafla ikawa 800 , nimelipa nipige tafu 700 nikaweka 1000 kulipa deni zikapigwa zote kuna haja ya kuachana na VodacomKutokana na dhulma ya serikali iliyoko madarakani kwa kutaka kutopora pesa kwenye huduma za kutuma na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu,kuanzia Leo nimejiondoa kwenye huduma za M pesa.Na kwakuwa sikutaka kuondoka mikono mitupu ,nimewaomba mkopo na mkanipa,nasema Asante Sana.Sitalipa deni Hilo na sitatumia Tena huduma zenu.Asanteni.