Raia Mtata
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 326
- 616
Mkuu kama simu yako ina access na watu wengi kama watoto na mke, kuna uwezekano mkubwa wamekopa bila wewe kujua. Jaribu kucheki hilo.Na ukipiga huduma wa wateja wale wadada wanaonekana wengi hawana experience au wengi wao hawajui kazi zao, mtu unampigia simu anapokea anakwambia wewe huna mkopo, wakati yeye yupo kwenye system na anaona, nikampigia mwengine hapo hapo customer care huyu anajibu kirahisi kabisa eti wewe umekopa mwenyewe nikamwambia ningekuwa nimekopa ningepiga simu hapa ofisini kwenu? They are so Poor
Yajayo yanafurahisha vodacom kazi ni kwakoo
Sina mpango wa kuweka salio voda kwa sasa
Ni mwendo wa halotel tu
We unadhan sgr na nyerere h.e.p tutamalozaje mkuu hapa tunawalazmisha tuu
Chagua Tena ccm kwa maisha mabovu mbeleni
Mkuu kama simu yako ina access na watu wengi kama watoto na mke, kuna uwezekano mkubwa wamekopa bila wewe kujua. Jaribu kucheki hilo.
Mimi naomba msaada jinssi ya kufuta namba kwenye menu ya MPESA unapotuma pesa KIPENGELE CHA CHAGUA KWENYE ORODHA. Kwnye orodha kuna namba za simu sizitambui, nilienda vodashop wakasema hawawezi kuziondoa, nikapiga 100 nao wakasema hawawezi kuzifuta.
Uhamie wapi mkuu mi Nina laini ya tigo nikijiunga internet ya week inaisha kama upepo
Mbona contradiction mzee! Mara umeacha kutumia mara unakopeshwa bila kuomba mkopo, mitandao bongo kibao akikuzingua huyu haimia kwa yule, mbona kwenye mademu mnahama halafu kwenye mitandao mnapata tabu?
Mkuu,
Nafikiri watakuwa wamezifuta hizo namba baada ya kupeleka mapendekezo yako,maana nimecheki kwenye laini yangu inaniandikia:
There is no beneficiary exist.
Masna hata mm nilikuwa na namba nyingi tu kwenye hiyo orodha ya M-pesa.
Mimi naomba msaada jinssi ya kufuta namba kwenye menu ya MPESA unapotuma pesa KIPENGELE CHA CHAGUA KWENYE ORODHA. Kwnye orodha kuna namba za simu sizitambui, nilienda vodashop wakasema hawawezi kuziondoa, nikapiga 100 nao wakasema hawawezi kuzifuta.