Vodacom mnakera:mnadhalilisha kiswahil, walimu

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
302,653
755,020
Tangazo la vodacom la Nimeshinda (100,000,000)linakera nackukidhalilisha kiswahili na mwalimu
linaaza kwa kumuonyesha mwalimu aliyevaa kwa staha akiwa ubaoni uliojaa herufi na tarakimu akifundisha ,lakini katika ufundishaji huo anachanganya mno kiingereza na kiswahili
Hii inaleta tafsiri gani? Ni kuwa kiswahili hakijitoshelezi au mwalimu aidha hajui kiswahili au kiingereza vizuri!!
 
Ni tangazo for gods sake... Hata angechanganya na kichina ni moja ya ubunifu tu kufanya livutie ..
 
Bahati mbaya halijavutia zaidi ya kuchafua lugha lililovutia ni lile la taarifa ya habari, kama ni ubunifu basi ulifeli
 
Back
Top Bottom