Vodacom mmesababisha ndugu yangu kufariki, nawaletea maiti ofisini

Nadhani ifikie hatua hv sasa pesa ya mtu ikikaa masaa kadhaa bila kumfikia muhusika kuna % mtumaji awe anapewa.....hii itasaidia haya ma kampuni kutoa huduma bora.
 
Bora nikae na hela keshi kuliko kuweka kwenyemitandao ya simu
Bora hivo maana ukiwa nashida sana zinagoma kutoka
 
Nadhani ifikie hatua hv sasa pesa ya mtu ikikaa masaa kadhaa bila kumfikia muhusika kuna % mtumaji awe anapewa.....hii itasaidia haya ma kampuni kutoa huduma bora.

Kweli wanakera hawa watoa huduma.
Toka tarehe 24 April mpaka tarehe 11 may ni nini wanafanya na hizo fedha?

Ndio wauza hisa hawa?
 
Pole sn mkuu, maliza tatizo la msiba kwanza then nenda TCRA ukawasitaki udai fidia
 
Haikuwa na haja ya kumquote
Ni kuipita tu comment yake na kumdharsu 7bu hata mm nimeshindwa kumuelewa ni kiumbe wa aina gani huyu
Mwenzako amefiwa na mpendwa wake halafu anaandika maneno kama hayo
Badala kumpa pole
Kuna watu mitandao inawatoa akiri
Okay
 
Kwanza pole sana kwa msiba mkuu.

Naungana na wachangiaji wengi kuamini kwamba kuna watumishi wasio waaminifu wanaichafua sana kampuni ya Vodacm. Leo mchana nilimtumia mtu hela, kwa bahati mbaya nikamtumia mtu mwingine kimakosa. Nikapiga Voda huduma kwa wateja nikawataarifu na wakaniambia hela yangu itarudishwa baada ya saa 12. Baada kama ya nusu saa kuna mtu akanipigia kwa namba ya simu ya kawaida tu na kujitambulisha yeye ni mfanyakazi wa huduma kwa wateja voda;

Akaniuliza jina langu kwa kulitaja kabisa nikamwambia ndio mimi; akaniuliza tena salio lako la Mpesa ni milioni moja na elfu kumi na tano nikamjibu ndio. Akaniambia niingize code Fulani ili nirudishiwe pesa yangu niliyoituma kimamkosa. Baada ya kusema hivyo nikagundua huyu ni tapeli tu. Nikamjibu tu atafute mtu mwingine wa kumtapeli na kama ni hiyo hela hata kama watarudisha mwakani mimi sijari. Kiukweli nilimtukana sana yule jamaa, akanitishia kwamba simu yangu inarekodiwa.

Baada ya kukata nikapiga tena huduma kwa wateja kuwataarifu na pia kuwahoji inakuwaje nipige simu muda huo huo kuulizia muamala wangu then ndani ya muda mfupi anipigie mtu mwingine ambaye anjua taarifa zangu pamoja na salio langu lililopo kwenye simu, majibu ambayo alinipa hayakuwa na maana yeyote though nilimwambia tu kwamba nyinyi sio waaminifu na mnashirikiana na watu Fulani watutapeli wateja.

Tuwe makini na hii mitandao kwa kweli.
 
Naandika haya kwa uchungu dhidi ya huu mtandao wa vodacom.Tarehe 25/4 saa 7 na robo mchana nilipigiwa simu dada kazidiwa tena kutoka kwa majirani, niliwaomba watafute gari wamkimbize hospital mimi niombe ruhusu kibaruani nitawakuta huko.

Kwenye akaunti yangu ya mpesa nilikuwa nina 416,000 tena niliiweka mda mfupi tu baada ya kupewa haki yangu ya mwezi na boss hivyo ikanipasa nimrushie 400,000dada kwenye no yake ili walipie usafili na matibabu,nilipotuma ile hela vodacom wakanitumia ujumbe kuwa "Samahani, muhamala wako haukukamilika kwasababu za kiufundi"japo hela kwenye akaunti yangu haikuonekana tena wala nilikotuma hakufika.

Baada ya masaa kadhaa wahospital wananipigia wameshafika hela haijafika ikabidi nipige voda huduma kwa wateja nilijibiwa kuna tatizo la mtandao mafundi wanashughulikia hela itafika nilikotuma nisiwe na wasiwasi, ikabidi niwaambie wale wa hospital kule nilichojibiwa ikabidi wajipapase wao wamlipe wa gari maana mimi sikuwa na hata senti tena,Nashukuru hospital alipokelewa vyema na kuanza matibabu japo mchana wa leo Mungu kamuita.

Tangu tarehe 25/4 hadi leo tarehe 3/5/2017 hiyo hela haikufika sehemu husika wala kwenye akaunti yangu haikurudishwa licha ya juhudi kubwa niliyoifanya ya kuwapigia kila siku bila mafanikio zaidi ya kuniahidi niwe mvumilivu.Leo asubuhi nilipopiga tena wamenitumia meseji hii"Tumepokea ombi lako lenye namba A7-TTEB-RF7L4 . Tutakujulisha punde litakapotatuliwa kabla ya 11-MAY-17 . Piga *106# kuhakiki usajili wa laini yako."

Kusudio la hela ilikuwa kumsaidia dada lakini VODACOM mkaamua kuikalia,sawa sina la kuwafanya basi naiomba mnirudishie itumike kwenye taratibu za kumpumzisha au niwaleteeni maiti ofisini mkamzike wenyewe?.
ndugu pole sana mimi nili sahau namba yangu ya siri.kitambulisho nilicho sajilia ni leseni ya gari na nilipo fika nayo wakaniambia ime isha na wakati nika wajibu nyie ni trafki mpaka sasa pesa zangu zipo kwao
 
Pole sana mkuu, na Mwenyezi ampumzishe mahala pema peponi dada......hii mitandao huwa wanatumia pesa hizo za wateja kuzungushia kwenye biashara zao ndio maana.

Mie niliwahi kupigwa na mvua kisa tigo pesa, niliapa kutokuja kutumia huduma zao tena toka siku hiyo.
 
Naandika haya kwa uchungu dhidi ya huu mtandao wa vodacom.Tarehe 25/4 saa 7 na robo mchana nilipigiwa simu dada kazidiwa tena kutoka kwa majirani, niliwaomba watafute gari wamkimbize hospital mimi niombe ruhusu kibaruani nitawakuta huko.

Kwenye akaunti yangu ya mpesa nilikuwa nina 416,000 tena niliiweka mda mfupi tu baada ya kupewa haki yangu ya mwezi na boss hivyo ikanipasa nimrushie 400,000dada kwenye no yake ili walipie usafili na matibabu,nilipotuma ile hela vodacom wakanitumia ujumbe kuwa "Samahani, muhamala wako haukukamilika kwasababu za kiufundi"japo hela kwenye akaunti yangu haikuonekana tena wala nilikotuma hakufika.

Baada ya masaa kadhaa wahospital wananipigia wameshafika hela haijafika ikabidi nipige voda huduma kwa wateja nilijibiwa kuna tatizo la mtandao mafundi wanashughulikia hela itafika nilikotuma nisiwe na wasiwasi, ikabidi niwaambie wale wa hospital kule nilichojibiwa ikabidi wajipapase wao wamlipe wa gari maana mimi sikuwa na hata senti tena,Nashukuru hospital alipokelewa vyema na kuanza matibabu japo mchana wa leo Mungu kamuita.

Tangu tarehe 25/4 hadi leo tarehe 3/5/2017 hiyo hela haikufika sehemu husika wala kwenye akaunti yangu haikurudishwa licha ya juhudi kubwa niliyoifanya ya kuwapigia kila siku bila mafanikio zaidi ya kuniahidi niwe mvumilivu.Leo asubuhi nilipopiga tena wamenitumia meseji hii"Tumepokea ombi lako lenye namba A7-TTEB-RF7L4 . Tutakujulisha punde litakapotatuliwa kabla ya 11-MAY-17 . Piga *106# kuhakiki usajili wa laini yako."

Kusudio la hela ilikuwa kumsaidia dada lakini VODACOM mkaamua kuikalia,sawa sina la kuwafanya basi naiomba mnirudishie itumike kwenye taratibu za kumpumzisha au niwaleteeni maiti ofisini mkamzike wenyewe?.
Hawa ni wa kushitaki mkuu. Wameshanidhalilisha sana kwa njia hizi hizi.
 
Kwanza pole sana kwa msiba mkuu.

Naungana na wachangiaji wengi kuamini kwamba kuna watumishi wasio waaminifu wanaichafua sana kampuni ya Vodacm. Leo mchana nilimtumia mtu hela, kwa bahati mbaya nikamtumia mtu mwingine kimakosa. Nikapiga Voda huduma kwa wateja nikawataarifu na wakaniambia hela yangu itarudishwa baada ya saa 12. Baada kama ya nusu saa kuna mtu akanipigia kwa namba ya simu ya kawaida tu na kujitambulisha yeye ni mfanyakazi wa huduma kwa wateja voda;

Akaniuliza jina langu kwa kulitaja kabisa nikamwambia ndio mimi; akaniuliza tena salio lako la Mpesa ni milioni moja na elfu kumi na tano nikamjibu ndio. Akaniambia niingize code Fulani ili nirudishiwe pesa yangu niliyoituma kimamkosa. Baada ya kusema hivyo nikagundua huyu ni tapeli tu. Nikamjibu tu atafute mtu mwingine wa kumtapeli na kama ni hiyo hela hata kama watarudisha mwakani mimi sijari. Kiukweli nilimtukana sana yule jamaa, akanitishia kwamba simu yangu inarekodiwa.

Baada ya kukata nikapiga tena huduma kwa wateja kuwataarifu na pia kuwahoji inakuwaje nipige simu muda huo huo kuulizia muamala wangu then ndani ya muda mfupi anipigie mtu mwingine ambaye anjua taarifa zangu pamoja na salio langu lililopo kwenye simu, majibu ambayo alinipa hayakuwa na maana yeyote though nilimwambia tu kwamba nyinyi sio waaminifu na mnashirikiana na watu Fulani watutapeli wateja.

Tuwe makini na hii mitandao kwa kweli.

Hili ni tatizo...

Wasio waaminifu ndio watakuwa wanauza deal. ...
 
Alafu hii mitandao ya kipuuzi sana.kuna siku nimetuma 2,000.naambiwa haijafika.nawapigia wananiambia watalishughulikia tatizo ndani ya masaa 24. Bhas mpaka Leo imepotea.
 
Aisee ,ebu omba ushauri wa kisheria afu uwapeleke mahakamani ...inatakiwa wakulipe .
Wanaudhi sana kwa kweli mda mwingine ,hii ni pamoja na nmh ..
Pole sana ndugu may your sister RIP .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom