JF ina kila aina ya watu! Na wewe una aina yako.
Ok kawasalimie!
uyole au nisogee soko matola kabisa.
Mwanjelwa!!
thank you, Mr. body,have a nice day!
MIMI HUA SIWEKAGI HELA KWENYE SIMU ZIKAE TU BILA SABABU. Naingiza na kutuma saa hiyo hiyo, kiwango hicho hicho! Jinsi ya kuprove kama elezako zilikuwepo ni ishu kubwa, unaweza kupigwa changa la macho na polisi ukaitiwa. Take care. Use banks.