Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,163
- 5,765
Jana na juzi vodacom mpesa walikuwa tatizo. Mie kuna jamaa nilimtumia elfu 82 juzi ikawa kila akitoa anaambiwa salio halitoshi. Hata hivyo jana usiku Vodacom walinirudishia pesa bila hata kuwapigia huduma kwa wateja. Pia ukiwasiliana kwa huduma kwa wateja huwa wanarudisha haraka sana.