yah mambo ya nokia siemens hayo,
nimeona website yao nokia wana upgrade mitambo ile ile ya 2g na 3g na kuifanya itoe 4g (lte), bila kuchange infrastructure. Yani kama vile una update simu toka software version 1 kwenda nyengine
hata hii speed ya karibuni ya voda ilikua ni kazi ya nokia
Mi nadhani tatizo ni kutokuwa na hiyo teknolojiaTatizo ni watu wangapi wana device zinazosupport hiyo LTE!!!
Wanakimbizwa na SMILE COMMS hao....Vodacom now testing LTE internet, currently available around Msasani area
Source: Vodacom's Facebook Page
Tatizo ni watu wangapi wana device zinazosupport hiyo LTE!!!
Wanakimbizwa na SMILE COMMS hao....
Si ndo watataka tununue na modem mpya za 4G, au wataziupgrade online?
chief-mkwawa
mkuu kwa lte itabidi uwe na device mpya no way. Na hata ingekua inasupport modem zetu kama e303 zina speed hadi 7.2mbps. Hata hspa+ hazijafika.
Hope wataanza kutoa hspa+ kwanza modem za kuanzia 21mbps hadi 42mbps halafu ndo waje 4g
vodacom lte + unlimited internet ya 200 dadeki itakuwa balaa. mwaka huu
vodacom lte + unlimited internet ya 200 dadeki itakuwa balaa. mwaka huu
yah mambo ya nokia siemens hayo,
nimeona website yao nokia wana upgrade mitambo ile ile ya 2g na 3g na kuifanya itoe 4g (lte), bila kuchange infrastructure. Yani kama vile una update simu toka software version 1 kwenda nyengine
hata hii speed ya karibuni ya voda ilikua ni kazi ya nokia
dah.. Wanaeza Futa Hioo makituuuuu mkuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu