umeona wapi mama lishe akakupa sahani mbili kwa bei ya zamani.
Lazima ifutwe, mabundi mtakoma
as i knw ni kwamba wanajarbu ku upgrade waweze kufka level za cmda,dats y kila cku mara 3g mara nin hii yote tokana wanatumia gsm(voda,airtel,tgo).
Wakfankiwa kufka huko bas wale wa cmda(ttcl,zantel) watakua mbal zaid
kwa Vodacom sina shaka ni muda mchache tuta enjoy sio kama wale wapuuzi Airtel 3.75G sijui imeishia wapi