hizi pesa wanazotangaza kuzigawa sio faida?Haitengenezi faida nzuri
Kwa post za nyuma, nilishauri kuwa kuwa, hiyo hela wangejenga kituo/vituo vya watoto yatima na kuitumia kuviendesha Ingekuwa na manufaa zaidi kuliko hizo 50, 100, 250 wanazo wapa wateja ambazo hata haziwasaidii au niseme hazima impact kwenye soko lao/kuvutia wateja
Au pengine waendeshe mashindano ya wazo la biashara na kugawa 10m kwa kila mshindi; watu wengi wangepata mitaji; Masharti ya ushiriki lazima awe mmiliki HALALI wa laini HAI ya voda kwa angalau mwaka mmoja....
Sasa 25 maana yake nn 😂😂😂😂Voda nao ni vizuri wakifanya promo hii....
Nikajua 25 inamaanisha billion 25.....🤣🤣🤣..... Au nimeingia Chaka mkurugenzi?🤣🤣Sasa 25 maana yake nn 😂😂😂😂
Khaaa 25 cent mkuu...Nikajua 25 inamaanisha billion 25.....🤣🤣🤣..... Au nimeingia Chaka mkurugenzi?🤣🤣
Kwa kweli aisee.... Yaani hii mitandao hawana shukrani kabisa pamoja na tunavyonunua mabando kwao....Khaaa 25 cent mkuu...
Ndo mana kuna mdau juu hapo kasema an ukiona umepewa 200 shilingi ujue wewe ni mteja wa miaka hata 30
Nyingi sana mkurugenzi.... Hii laini Yao naitumia tangu 2006....Kwa mwaka unafanya transactions ya shngp mkuu
🤣 kwa mwaka ulifanya transaction ya hata milion 50🤣Nyingi sana mkurugenzi.... Hii laini Yao naitumia tangu 2006....
Unajua 200 mara million 3 ni shilingi ngapi mkuuKwa kweli aisee.... Yaani hii mitandao hawana shukrani kabisa pamoja na tunavyonunua mabando kwao....
Mpunga mrefu sana Mkurugenzi....🤣🤣🤣Unajua 200 mara million 3 ni shilingi ngapi mkuu
Kheeee.... Hapana mkurugenzi... Mkwanja mrefu sana huo...🤣 kwa mwaka ulifanya transaction ya hata milion 50🤣