Wamekupendelea sana. Mimi kwangu wakijitahidi sana ni shilingi 50! Bora hata wasiniwekee hilo gawio lao la mchongo.wamenipa 620tsh
KubwaView attachment 3384918hawa YAS ndio walinifanyia mambo ya kueleweka
SaanqKubwa
Kweli mkuuKwenye hilo gawio atakayepata tsh.5,000/=,atakuwa ni mwanaume wa shoka tena kidume kweli kweli.
Tigo wanatoa 25Huu mtandao nimeutumia tangu 2006 mpaka Sasa sijawahi kuona hiki unachosema.... hata gawio la Tsh 1000 sijawahi kuona... Ni vile nawapenda tuu....
Inasikitisha sana....
Haijawah tokeaKwenye hilo gawio atakayepata tsh.5,000/=,atakuwa ni mwanaume wa shoka tena kidume kweli kweli.
Waanze kwa kulipa wenye hisaKampuni ya simu ya mawasiliano ya Vodacom imetangaza kugawa bilion 28 kwa wateja wake nchini. Fedha hizo zitaenda moja kwa moja kwa wateja watumiaji wa mpesa na na huduma nyingine za vodacom.
Fedha yako utafanyia nini mdau utakapopokea GawioView attachment 3384743
Voda nao ni vizuri wakifanya promo hii....Tigo wanatoa 25