Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,581
- 10,110
Kampuni ya simu ya mawasiliano ya Vodacom imetangaza kugawa bilion 28 kwa wateja wake nchini. Fedha hizo zitaenda moja kwa moja kwa wateja watumiaji wa mpesa na na huduma nyingine za vodacom.
Fedha yako utafanyia nini mdau utakapopokea Gawio
Fedha yako utafanyia nini mdau utakapopokea Gawio