Vodacom kukubali ombi la Yanga ni zaidi ya udhaifu ktk biashara

Wanaoongoza yanga vilaza ndiyo maana ipo ilipo, they are f***n poor yet wanajifanya kubagua wadhamini, hehehe let them go to hell mashindwe kulipa wachezaji wao wakaokote makopo. Nembo ya biashara regardless ina rangi ya simba au la haihusiani kabisa, ningekua naongoza vodacom there's no way ningesponsor these a****holes. Lets be honest vodacom hawa-gain chochote from this, all yanga fans tayari ni customers wa vodacom anyway.
 
Eti timu inaachiwa mechi ili ijiandae wakati huko Ulaya timu inacheza Jmosi na Jumanne na Jumamosi na Jumatano
 
Msimamo wa yanga kwa sasa ni kutoitambua nembo ya mdhamini kampuni ya Vodacom Tanzania kutokana na rangi zake nyeupe na nyekundu.

Ni wazi hii imeleta mtafaruku tangu msimu uliopita.Nembo ya vodacom nyekundu na nyeupe ndiyo nembo yao ya biashara inayotambulisha kampuni hiyo siyo maneno.
Ikiwa vodacom watakubali kuibadili nembo hiyo kwa matakwa ya wanayanga ni wazi mdhamini atakuwa hawakilishwi wala kutangazwa na yanga bali yanga watakuwa wanatangaza kitu kingine tofauti kinachoshabihiana na nembo ya vodacom ila hakika hakitakuwa nembo ya vodacom.

Ifike hatua TFF waheshimu mikataba wanayoingia na wadhamini na timu pia ziheshimu nembo za kibiashara za wadhamini wao.
Kitu kinachotaka kufanyika kwa yanga ni cha kipekee duniani hakipo mahali popote ktk ulimwengu wa soka duniani na ktk biashara na sheria za mikataba.View attachment 1201454
Mimi nadhani Yanga wanakosea kuhusisha rangi za Mdhamini na rangi za Timu yao. Wao ni wanachama wa TFF ambayo kwa niaba yao imeomba udhamini kwa Vodacom. Imesadifu kuwa mdhamini ana nembo yenye rangi isiyotajwa kwenye Katiba ya Yanga, Lakini huo siyo ukweli kamili unaowakosesha usingizi Yanga kuhusu nembo hiyo. Ukamilifu wake ni kuwa rangi nyekundu inatumiwa na Watani zao Simba, na kwa hivyo hawatasikia raha kuwa na rangi ya watani zao hao. Lakini rangi hiyo imesadifu tu kufanana na ya Simba, hakuna uhusiano baina ya Simba na Vodacom. Wasichukulie rangi hiyo wala tamko la Katiba yao nje ya muktadha (out of context). Katiba yao inatambua rangi rasmi za klabu, lakini haisemi kuwa rangi nyengine zisizo rasmi haziruhusiwi. Rangi nyekundu kwenye nembo ya Vodacom haiwezi kuwa ndiyo rangi rasmi ya jezi yenyewe. Ndiyo tuseme wachezaji wa Yanga hawatumii mlo wenye kachumbari ya nyanya zilizoiva kwa sababu tu ni za rangi nyekundu pia? Kama Vodacom ‘wamekubali yaishe’, ni uungwana. Ingekuwaje kama na wao wangesema rangi wanazotaka Yanga nazo si rasmi kwao?
 
We dada vipi?kwani we ndo meneja wa voda?voda washakubaliana na Yanga wewe unataka nini?Hapa hakuna mabwana sisi ni chapa tembea.
Wanaoongoza yanga vilaza ndiyo maana ipo ilipo, they are f***n poor yet wanajifanya kubagua wadhamini, hehehe let them go to hell mashindwe kulipa wachezaji wao wakaokote makopo. Nembo ya biashara regardless ina rangi ya simba au la haihusiani kabisa, ningekua naongoza vodacom there's no way ningesponsor these a****holes. Lets be honest vodacom hawa-gain chochote from this, all yanga fans tayari ni customers wa vodacom anyway.
 
Sasa ukishasema Yanga haijisikii raha kuvaa nembo nyekundu,pia ukisema si moja ya rangi zao sawa tukio linaweza kuwa ni kivuli lakin je huoni kama hilo tu linatosha kuzifanya jezi za Yanga zisiuzike?

Unavaaje kwa raha kitu ambacho hakikupi amani?unakuwa mtumwa wa pesa?kitu hicho huenda ndo Yanga hawakutaki.
Mimi nadhani Yanga wanakosea kuhusisha rangi za Mdhamini na rangi za Timu yao. Wao ni wanachama wa TFF ambayo kwa niaba yao imeomba udhamini kwa Vodacom. Imesadifu kuwa mdhamini ana nembo yenye rangi isiyotajwa kwenye Katiba ya Yanga, Lakini huo siyo ukweli kamili unaowakosesha usingizi Yanga kuhusu nembo hiyo. Ukamilifu wake ni kuwa rangi nyekundu inatumiwa na Watani zao Simba, na kwa hivyo hawatasikia raha kuwa na rangi ya watani zao hao. Lakini rangi hiyo imesadifu tu kufanana na ya Simba, hakuna uhusiano baina ya Simba na Vodacom. Wasichukulie rangi hiyo wala tamko la Katiba yao nje ya muktadha (out of context). Katiba yao inatambua rangi rasmi za klabu, lakini haisemi kuwa rangi nyengine zisizo rasmi haziruhusiwi. Rangi nyekundu kwenye nembo ya Vodacom haiwezi kuwa ndiyo rangi rasmi ya jezi yenyewe. Ndiyo tuseme wachezaji wa Yanga hawatumii mlo wenye kachumbari ya nyanya zilizoiva kwa sababu tu ni za rangi nyekundu pia? Kama Vodacom ‘wamekubali yaishe’, ni uungwana. Ingekuwaje kama na wao wangesema rangi wanazotaka Yanga nazo si rasmi kwao?
 
kwa hiyo Yanga haikudhaminiwa Na voda 2016/2017?hii sio kweli.Yanga haiitaji voda,voda inaiifaji Yanga.upo hapo.
Siyo yanga walioitafuta voda bali ni tff kwa niaba ya vilabu tz kama mdhamini.
Anacholeta baba ndiyo mlo wa watoto.
 
Sasa ukishasema Yanga haijisikii raha kuvaa nembo nyekundu,pia ukisema si moja ya rangi zao sawa tukio linaweza kuwa ni kivuli lakin je huoni kama hilo tu linatosha kuzifanya jezi za Yanga zisiuzike?

Unavaaje kwa raha kitu ambacho hakikupi amani?unakuwa mtumwa wa pesa?kitu hicho huenda ndo Yanga hawakutaki.
Kuna tofauti baina ya utashi na wajibu. Yanga haina utashi wa kuvaa jezi wasiyoipenda. Lakini ina wajibu wa kuivaa kwa sababu ni mwanachama wa TFF iliyoomba udhamini wa Vodacom. Kikubwa ambacho Yanga ingeweza kufanya ni kukataa kuwa nembo hiyo sambamba na kukataa maslahi yote yanayotokana na udhamini wa Vodacom. Ila hilo nalo lingeweza kuwafanya Vodacom kufikiria upya thamani ya Mkataba mzima, sambamba na TFF kuiadhibu Yanga kwa kosa la kutia mchanga kitumbua.
 
We dada vipi?kwani we ndo meneja wa voda?voda washakubaliana na Yanga wewe unataka nini?Hapa hakuna mabwana sisi ni chapa tembea.
Umeona pink kwenye logo uka-assume mimi ni dada yako?
Akili zako zinaonyesha we ni mtu type gani, hua nablock *************** kama wewe
 
Ses naona taratibu taratibu umeanza kutuelewa. 😎😎
Ni hako kamsimamo kakukataa kuchanganyiwa rangi maana na sisi yasije yakatukuta siku zijazo tukakosa wa kulia nae, zaidi ya hayo subirini kichapo ndani nje msimu huu

Kamsimamo kenu nadhani mlikapata kwenye ile kaulimbiu yenu ya daima mbele nyuma sijui kuna nini!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom