MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,159
- 5,399
- Thread starter
- #61
Umesema point.Kuna tofauti baina ya utashi na wajibu. Yanga haina utashi wa kuvaa jezi wasiyoipenda. Lakini ina wajibu wa kuivaa kwa sababu ni mwanachama wa TFF iliyoomba udhamini wa Vodacom. Kikubwa ambacho Yanga ingeweza kufanya ni kukataa kuwa nembo hiyo sambamba na kukataa maslahi yote yanayotokana na udhamini wa Vodacom. Ila hilo nalo lingeweza kuwafanya Vodacom kufikiria upya thamani ya Mkataba mzima, sambamba na TFF kuiadhibu Yanga kwa kosa la kutia mchanga kitumbua.