• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Vodacom kukubali ombi la Yanga ni zaidi ya udhaifu ktk biashara

  • Thread starter MLA PANYA SWANGA
  • Start date
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
4,525
Points
2,000
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
4,525 2,000
Msimamo wa yanga kwa sasa ni kutoitambua nembo ya mdhamini kampuni ya Vodacom Tanzania kutokana na rangi zake nyeupe na nyekundu.

Ni wazi hii imeleta mtafaruku tangu msimu uliopita.Nembo ya vodacom nyekundu na nyeupe ndiyo nembo yao ya biashara inayotambulisha kampuni hiyo siyo maneno.
Ikiwa vodacom watakubali kuibadili nembo hiyo kwa matakwa ya wanayanga ni wazi mdhamini atakuwa hawakilishwi wala kutangazwa na yanga bali yanga watakuwa wanatangaza kitu kingine tofauti kinachoshabihiana na nembo ya vodacom ila hakika hakitakuwa nembo ya vodacom.

Ifike hatua TFF waheshimu mikataba wanayoingia na wadhamini na timu pia ziheshimu nembo za kibiashara za wadhamini wao.
Kitu kinachotaka kufanyika kwa yanga ni cha kipekee duniani hakipo mahali popote ktk ulimwengu wa soka duniani na ktk biashara na sheria za mikataba.
2157464_FB_IMG_1567927955994.jpeg
 
nankumene

nankumene

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2015
Messages
5,894
Points
2,000
nankumene

nankumene

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2015
5,894 2,000
hujui biashara ww, mfanya biashara cha maana kwake ni maslahi tu basi
 
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
22,342
Points
2,000
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
22,342 2,000
Umenifurahisha sana lakini mimi nimeusema ukweli.
Huwezi kuwa unaitwa John ghafla'uanze kuitwa Yohana halafu useme ndiyo wewe mwenyewe.
Nembo ya Vodacom siyo hiyo wanayoitaka yanga.
John na Yohana ni sawa na kusema Soccer na Kandanda.
 
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
4,525
Points
2,000
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
4,525 2,000
John na Yohana ni sawa na kusema Soccer na Kandanda.
BRELA pia wanajua nembo ya vodacom siyo hiyo ambayo yanga wanataka kuitumia na ikiwa yanga wataitumia hiyo tofauti na vodacom bado BRELA wanauwezo wa kuwashitaki vodacom kutumia nembo ambayo hawajaisajiri hivyo wakaonekana ni wafanyabiashara haramu watakatishaji pesa tu.
Otherwise waende BRELA washughulikie hilo ili wawe na nembo mbili tofauti na hapo ni kinyume na sheria.
 
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
6,495
Points
2,000
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
6,495 2,000
Acha wivu Simba wewe
Hivi hilo linembo la njano na weusi ndio la Vodacom?
.
Vipi ikitokea TOTAL wakaanza kudhamini mashindano ya champions league watakataa kuvaa pia logo yao?
 
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
22,342
Points
2,000
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
22,342 2,000
BRELA pia wanajua nembo ya vodacom siyo hiyo ambayo yanga wanataka kuitumia na ikiwa yanga wataitumia hiyo tofauti na vodacom bado BRELA wanauwezo wa kuwashitaki vodacom kutumia nembo ambayo hawajaisajiri hivyo wakaonekana ni wafanyabiashara haramu watakatishaji pesa tu.
Otherwise waende BRELA washughulikie hilo ili wawe na nembo mbili tofauti na hapo ni kinyume na sheria.
Umejuaje kama hawajasajili?
 

Forum statistics

Threads 1,404,600
Members 531,671
Posts 34,458,813
Top