Vodacom kukubali ombi la Yanga ni zaidi ya udhaifu ktk biashara

Aisee yani Yanga mbovu inawaumiza wanasimba na TFF.Pambaneni na hali yenu.
Hizo hoja zenu hazina mantiki kwa sababu kinachomata kwa voda ni faida watakayopata kwa kudhamini ligi na si logo au kutangaza logo.Vodacom haitangazi logo.iko kibiashara.Logo ya vodacom inanadilika hata makampuni pia hubadili logo.
 
Vodacom nembo wanayotumia ni moja Tanzania nzima .
Acha ushamba hii jezi sio ya Dar es salaam Young Africans?
tapatalk_1567961681060.jpeg
 
Msimamo wa yanga kwa sasa ni kutoitambua nembo ya mdhamini kampuni ya Vodacom Tanzania kutokana na rangi zake nyeupe na nyekundu.

Ni wazi hii imeleta mtafaruku tangu msimu uliopita.Nembo ya vodacom nyekundu na nyeupe ndiyo nembo yao ya biashara inayotambulisha kampuni hiyo siyo maneno.
Ikiwa vodacom watakubali kuibadili nembo hiyo kwa matakwa ya wanayanga ni wazi mdhamini atakuwa hawakilishwi wala kutangazwa na yanga bali yanga watakuwa wanatangaza kitu kingine tofauti kinachoshabihiana na nembo ya vodacom ila hakika hakitakuwa nembo ya vodacom.

Ifike hatua TFF waheshimu mikataba wanayoingia na wadhamini na timu pia ziheshimu nembo za kibiashara za wadhamini wao.
Kitu kinachotaka kufanyika kwa yanga ni cha kipekee duniani hakipo mahali popote ktk ulimwengu wa soka duniani na ktk biashara na sheria za mikataba.View attachment 1201454
Jiulize kati ya Yanga na vodacom nani anamuhitaji mwenzake zaidi? Kila team ya inapata shillings ngapi kwao mwaka?ukipata majibu utakuwa umepata majibu
 
Hakuna kitu kama hicho
Msimamo wa yanga kwa sasa ni kutoitambua nembo ya mdhamini kampuni ya Vodacom Tanzania kutokana na rangi zake nyeupe na nyekundu.

Ni wazi hii imeleta mtafaruku tangu msimu uliopita.Nembo ya vodacom nyekundu na nyeupe ndiyo nembo yao ya biashara inayotambulisha kampuni hiyo siyo maneno.
Ikiwa vodacom watakubali kuibadili nembo hiyo kwa matakwa ya wanayanga ni wazi mdhamini atakuwa hawakilishwi wala kutangazwa na yanga bali yanga watakuwa wanatangaza kitu kingine tofauti kinachoshabihiana na nembo ya vodacom ila hakika hakitakuwa nembo ya vodacom.

Ifike hatua TFF waheshimu mikataba wanayoingia na wadhamini na timu pia ziheshimu nembo za kibiashara za wadhamini wao.
Kitu kinachotaka kufanyika kwa yanga ni cha kipekee duniani hakipo mahali popote ktk ulimwengu wa soka duniani na ktk biashara na sheria za mikataba.View attachment 1201454
 
Mwakalebela kasema yanga in rangi tatu. Kijani, njano na nyeusi. Kinyume na hapo ni kuvunja katiba na haikubaliki.
Hapa kwenye sportspesa ni rangi gani? Simba rangi yao ni nyekundu na nyeupe. Hapa wana nyeupe....

20190908_215005.png
 
Tatizo siyo rangi. Tatizo ni fedha.
Voda wangemwaga 50bn kwa Yanga, wangevaa hata jezi ya pinki. Total wanatoa hela nzuri na wachezaji wanakuwa more exposed.
50 billion kwa timu gani?
Tatizo sio pesa nyinyi hizo million 100 zenyewe mnazitafuta kwa tochi tatizo ni uswahili na ushamba mwingi.
.
Mwakalebela mtu mkubwa kama yule aliyewahi kuwa kiongozi mkubwa TFF analeta ushamba ushamba wa namna hii unategemea soka la Yanga litaendelea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom