Vodacom Internet download statistics hazipo sawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom Internet download statistics hazipo sawa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CalvinPower, Mar 29, 2010.

 1. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  Naombeni msaada katika hili
  mimi ni mteja wa vodacom na huwa nanunua kifurushi cha 2gb. natumia usb modem huawei e160. Software ya hii modem ni mobile parter. Tatizo langu ni kwenye statistics wakati wa ku-Download.
  Kwa mfano nakuta kitu cha 50mb kwenye internet, na click download, na hapa kwenye windows naona statistics yake inakwenda vizuri namoja na mda itakayochukua kumaliza download. Ila hapa kwenye mobile partner Napata statistics ambazo sio sahihi na after download inasema nimedownload data 112mb na nikiangalia salio nakuta wamekata 112mb. Nimejaribu kuwapigia Vodacom simu wamesema pc yangu labda ina automatic downloads au background downloads. Nikarekebisha na kuweka manual. Lakini tatizo lipo pale pale. nikiwapigia wanasema tunafikisha kwenye idara inayohusika na watanipigia simu.pamoja na wao kunipigia simu lakini hawajaweza kutatua tatizo langu , mara ya mwisho walisema wanachunguza na wao halfu watanijibu lakini mpaka leo hii hawajanipigia. Nikitumia internet ya mtandao mwingine ku-download hiyo 50mb inakata 53mb. najua huwa kunakuwa na upload data lakini haizidi 2-3mb kwa download ya 50mb.
  Kama kunamtu ameshafanya utafiti please naomba anielimishe au kama Vodacom ndio wenye matatizo naomba vilevile waelimishwe.
   
Loading...